Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

7:52pm - BREAKING: Chambers leaves Arsenal for Villa!

Out of absolutely nowhere, a done deal.

Versatile defender Calum Chambers has left Arsenal to join Aston Villa on a three-and-a-half year deal for an undisclosed fee.

There had been little to no speculation surrounding this one beforehand.

Huu mzigo nimeukata Mahala,,, nimetafuta habari ya utimikifu wake ila haipo...

Kuna ukweli wowote wenye vyanzonzaidi hasa wale wenye za Ndani!?
Huyu kaondoka na Mari kaondoka. Nafikiri Saliba anarudi
 
Kwa kawaida wachezajinwa zamani wakija train na timu hua wanagewa initials mfano Jack Wilshere kwa kipindi chote alichorudi amekua akivaa jezi zenye JW.

Baada ya kwenda Dubai ameonekana akiwa amevaa jezi yenye namba 12, mashabiki tunahisi pengine Wilshere amegewa mkataba wa muda mfupi kucover nafasi ya mid ndiyo maana amegewa jezi yenye namba.
 
Ni bora tubaki na wachezaji 11 ila deadwoods ziondoke, united wana depth kuliko City njoo kwenye quality sasa, ondoa takataka lete quality hata kama wachache
 
Isak anatrend kwamba yupo London, atakuwa anaenda Spurs / Chelsea , Arsenal hawawezi kutoa £75m.

'Oooh who put this shit together, bitch im the glue.' Sicko mode Travis scott.
IMG_20220128_213542.jpg
 
Ndio maana huwa hizi speculation za usajili wa arsenal sitaki kuzisoma, mwezi umekata no signings...
 
Ndio maana huwa hizi speculation za usajili wa arsenal sitaki kuzisoma, mwezi umekata no signings...
Wanajaribu kucheza na akili za washabiki.bahati mbaya propaganda wanazozifanya tumezizoea kwa zaidi ya miaka 10 sasa.

Stan ni miyeyusho sana. Team hain ala ajabu kwa sababu inapotakiwa kusajili daima yupo busy na michezo yako ya America anayoielewa, football is not his thing.

Bahati mbaya tu alikuja kuwekeza UK na Hii bahati mbaya ikatuangukia sisi Arsenal, kuokoka kwenye hili janga ni Kung'oa $tan bila hivyo kuna mika mingine 10 yaja bila ubingwa jama Liva walivyosubiri ubingwa
 
Dusan Vlahovic is a smoke screen for Alexander Isak who is a smoke screen for Jonathan David who is a smoke screen for Calvert-Lewin who is a smoke screen for Ollie Watkins who is a smoke screen for Luka Jovic who is a smoke screen for a new contract for Lacazette & Nketiah.
 
Hallelujah, mwisho dirisha linafungwa hakuna tulichoonheza zaidi ya Kupunguza
 
In Arteta we trust. Hahahaha. He believes he has a strong squad that does not need any additional or reinforcement
Jingax Kabisa, kikosi gani alichonacho ambacho hakihitaji uboreshwaji!? Ili kutoboa top 4 kikosi cha sasa unahitaji liwa na 1st eleveni ya kutunishiana Misuri na Top 6 clubs na bench lenye nguvu za kutosha za kuisupport hiyo first 11, sio Kukosekana kwa Partey kunaifanya team kukosa mwelekeo.

Huwezi kuwa na Partey ndani na Sub yake kama janga likimfika ni Lukonga huo ni utani. Lukonga anatakiwa kuendelea kujifunza na anatakiwa kiwa chaguo la Tatu na sio mbadala wa Partey. Vivyo hivyo mbele unatoa Lacca /Auba unaweka Nkethia au Blogogan huo ni utani.

Kifupi team yetu ni nzuri kuweza kumaliza nafasi ya 8-12 na sio vinginevyo.

Tuendelee kuamini project isiyo na yield walimu wanabadikika lugha bado zile zile CHUCH THE PROCESS.

soon tutaanza kuimba 20+ years bila taji la EPL.
 
Exactly, kuna watu wana matumaini kiasi kwamba nikisoma comment zao naishia lol.
 
Back
Top Bottom