toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,791
Unaijua thamani ya mshaharaIf wanaona sera zao haziendani na boss wao if they are serious waachie timu tujue kuwa Kroenke ni Toxic
katika maisha ya mwajiriwa?.
Unaijua thamani ya mshaharaIf wanaona sera zao haziendani na boss wao if they are serious waachie timu tujue kuwa Kroenke ni Toxic
FACT hapa sikupingiUnaijua thamani ya mshahara
katika maisha ya mwajiriwa?.
Endelea kukalia Ncha ya Knife huku daily tunakataliwa na players kila kukichaYou're the toxic Arsenal fan of all time, Don't complain like a little bitch.
Tryna handle your stuff MOTHERFUCKER!!!
Mkuu ndio maana nimeanza na bodi kwasababu wao ndio Top decision makers.Usishughulike na wafanyakaz hoji integrity ya wamiliki kwa sababu arteta na edu ni waajiriwa wanaofata maelekezo ya boss
Edu ni mwajiriwa tu, kama hajapewa pesa unataka atoe za mfukoni mwake?Hivi board ya Arsenal pamoja na Edu wapo serious kweli?.
Leo ndo deadline ya transfer then till now hamna dalili zozote za kusajili mchezaji..
Kroenke anawazia super bowlEdu ni mwajiriwa tu, kama hajapewa pesa unataka atoe za mfukoni mwake?
tu for now inashangaza mnoHii kitaalamu Inaitwa vipaumbeleKroenke anawazia super bowltu for now inashangaza mno
Inasikitisha sana! Ngoja tuone msimu tutaishia wa ngapiKroenke anawazia super bowltu for now inashangaza mno
Mkuu,Edu kama Technical Director anatakiwa aikumbushe na kuisumbua board juu ya new transfers katika timu kwasababu Technically yeye ndio Master Plan.Edu ni mwajiriwa tu, kama hajapewa pesa unataka atoe za mfukoni mwake?
Mkuu, wenzetu hawafanyi kazi kwa "kukumbushwa na kusumbuana", haya mambo yapo huku kwetu. Walishaweka mikakati yao tangu kiangazi, hapa hata tujadili vipi wao wanajua walichopanga na wanachotaka kufanya, Edu alishasema...long term and short term plans za timu, unless kuwe na dharura.Mkuu,Edu kama Technical Director anatakiwa aikumbushe na kuisumbua board juu ya new transfers katika timu kwasababu Technically yeye ndio Master Plan.
Current tumeshindwa kupata matokeo kutokana na ufinyu wa kikosi chetu,Kitu ambacho kwa rivals wetu wa top4 kama Spurs, Chelsea na Liverpool hawana.
Mkuu, wenzetu hawafanyi kazi kwa "kukumbushwa na kusumbuana", haya mambo yapo huku kwetu. Walishaweka mikakati yao tangu kiangazi, hapa hata tujadili vipi wao wanajua walichopanga na wanachotaka kufanya, Edu alishasema...long term and short term plans za timu, unless kuwe na dharura.
Sisi tukae kwa kutulia tu na kusubiri maamuzi ya wenye timu yao.

pamoja mkuu.Dembele nani you fool, tuna Saka & MartinelliEndelea kukalia Ncha ya Knife huku daily tunakataliwa na players kila kukichaView attachment 2103146
Chelsea wanamjasili Dembele soon kabla ya dirisha kufungwa
Colorado Rapids???mamamamamaeArsenal have completed the signing of centre back Auston Trusty from Colorado Rapids. He will remain with MLS club on loan until the end of the season.#AFC
@ FabrizioRomano


Will Jr ona viongozi wako wametuletea defender ambaye hafahamiki katika football but let me ask you guys tulikuwa tunahitaji defender?usawa huu?I am done Goodnight

Mkuu,Auba to Barcelona a deal is almost done.Kwa mara ya kwanza naugundua uongo wa Fabrizio Romano, Auba kaenda Barcelona kusalimia familia yeye anaripoti kaenda kwa ajili ya Medical Tests
View attachment 2103432