Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tungempata ata yule nkunku wa Leipzig ingekua magoli sana, au ata Jeminez wa wolves kuliko kutoka kapa hivi daah, Arteta katili sana

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Hiv sisi kama great thinkers kuna kitu tunapaswa kujiuliza;
1-ni kweli suala la squad depth ni mashabiki tu ndo tunaliona?,namaanisha kocha na football director hawalioni?

2-Tatizo la kiungo na mshambuliaji wao kama elites hawalioni??

3-hii out-movement ya wachezaji pasipo usajili mpya wao kama wenye timu(kocha na technical staff) hawajui madhara yake?

4-suala la kushuka BRAND ya arsenal kiasi Cha kutovutia wachezaji na wawekezaji wao kama management hawalioni?

5-Umuhimu wa fedha ya maana katika kufikia malengo ya timu na matarajio ya mashabiki wao hawalioni?
6-mwisho tujiulize management inaona nini ambacho sisi mashabiki hatukioni?
 
Tatizo namajibu ya maswali yoye matano no Silent Stan
 
Haya maswali yanazidi upeo wangu, ata sijui hawa ndugu wanampango gani usionekana

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Nafuatilia dirisha la usajili inafurahisha siyo kidogo.

Wengi tunamuamini Fabrizio Romano. Kabla dirisha halijafunguliwa alisema amepata taarifa Arsenal lazima isajili striker na mid, kituko ni baada ya dirisha kufunguliwa.

Anyway, kuna jamaa alisema tatizo letu tunalipa kwa awamu nikamuambia ndiyo malipo ya siku hizi. Jana Liver wamesajili winger kwa 40M na watalipa kwa miaka 3 nyongeza ya 20M watailipa kwa miaka 5.

Juve pesa ya Dusan wanailipa kwa awamu pia.

Kama tukiweka kwenye mzani tunahitaji ST au Mid? Kuna jamaa akaniambia bora tusajili ST mzuri kwakua kwa muda uliobaki Xhaka na Partey watatubeba hadi kiangazi kifike. Lakini sasa ukizingatia makosa na reds za Xhaka na majeraha kwa Partey mbona kama mtu unakua torn hujui ustick wapi?

Utakua una clinical finisher huku hauna mtu wa kuhakikisha katikati watu hawapiti na hauna wa kumpelekea mipira? I mean kama mipira inafika vizuri kwa pasi zenye vision eventually mtascore tu.

Isak kaonekana London. Lakini hata mwaka juzi Aouar alionekana London na dili ilikufa kwahiyo kuonekana London siyo guarantee ya kumsajili.
 
Arsenal ni kweli walikuwa na interest na Vlahovic ila hawakuwa serious na suala la pesa ya ada, hivyo Juventus haikuwa shida kupiga hodi na kumsajili kiulaini.

Ila Stan Kroenke na Arteta wamekubaliana kwamba usajili mkubwa ufanyike mwezi Juni/Julai na si sasa, ila washughulikie suala la Aubameyang aondoke aondoe kiwingu.

Hivyo Auba sasa yupo Barcelona na atafanya medical jioni hii na atatangazwa kuwa mchezaji wa barca kwa mkopo hadi end of the season.

Hivyo, Arsenal kusajili mchezaji yoyote yule kwa sasa chance ni ndogo sana na hata wakifanya hivyo itakuwa ni kwa mkopo na ndo maana wameamua wamalizane na Lacazette na Nketia ambao watakaa hadi mwishio wa msimu.
 
Back
Top Bottom