Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,512
- 9,552
Kuna mtu anashabikia asenali na thimba
Hahaha, Sasa si Bora Arsenal ya msimu huu ata inajadirika, unamuongelea vipi shabiki wa Yanga na Arsenal ya msimu uliopitaKuna mtu anashabikia asenali na thimba
Silioni dili la Neves kukamilika kwenda arsenal hasa kiwango cha pesa si chini ya £35, kuzitoa izo kwa arsenal yetu ni ngumu sanaSasa kama suala ni Reuben Neves, how does he fit into 4-3-3?, Sounds like with Neves, Mikel Arteta will stick to double midfield pivot in Partey & Neves.
Reuben Neves at LCM, i dont think he can excels in every facets of play likewise Granit Xhaka coz anaonekana ni defensive monster zaidi, nangoja Mikel Arteta aniprove wrong, all in all i like Reuben Neves. Japo Bruno angetufaa sana kwenye 4-3-3.
Inawezekana dirisha la kiangazi labdaSilioni dili la Neves kukamilika kwenda arsenal hasa kiwango cha pesa si chini ya £35, kuzitoa izo kwa arsenal yetu ni ngumu sana
Mkuu nafikir arsenal fans walioko London kunakaz inabidi watusaidie kuifanyaInawezekana dirisha la kiangazi labda
Washeoewa kesi za Ubakaji (DT) Na Claude Mungu amemchukua, so wameisha wafia TeamMkuu nafikir arsenal fans walioko London kunakaz inabidi watusaidie kuifanya
Hatimae nimeikuta kwenye ukurasa wake Rasmi akiachia salamu za Kutuaga.7:52pm - BREAKING: Chambers leaves Arsenal for Villa!
Out of absolutely nowhere, a done deal.
Versatile defender Calum Chambers has left Arsenal to join Aston Villa on a three-and-a-half year deal for an undisclosed fee.
There had been little to no speculation surrounding this one beforehand.
Huu mzigo nimeukata Mahala,,, nimetafuta habari ya utimikifu wake ila haipo...
Kuna ukweli wowote wenye vyanzonzaidi hasa wale wenye za Ndani!?
Hatimae nimeikuta kwenye ukurasa wake Rasmi akiachia salamu za Kutuaga.
Kila la Kheri Bwana SALUMU kama tulivyozoea kukuita kwenye Vibanda Umiza Vyetu.View attachment 2098016
Wameona pesa mlangoni wameidaka, maisha yanaendeleaTouched by his departure.He was a good player save that he was prone to injuries. You will see his worthiness when is gone. Arsenal Bwana wakati mwingine unaona kwamba hata wanachokitaka hawakijui
No hii ni kama movement order,Kuna watu wapo kwenye paylist ila uongoz hauon potential yao hata kama wakiwa fit wana delivery ya hali ya juu.kuchukua epl huhitaji kikosi wala kikosi kipana bali unahitaji ready mercenaries ambao muda wote wako tayar kwa battle na sio vitaArsenal haipo serious kabisa.
Labda kama lengo ni kutokushuka daraja.
Hao watu Arsenal hamna na bado inauza watu na haisajiliNo hii ni kama movement order,Kuna watu wapo kwenye paylist ila uongoz hauon potential yao hata kama wakiwa fit wana delivery ya hali ya juu.kuchukua epl huhitaji kikosi wala kikosi kipana bali unahitaji ready mercenaries ambao muda wote wako tayar kwa battle na sio vita
Claude wa AFTv amefariki?Washeoewa kesi za Ubakaji (DT) Na Claude Mungu amemchukua, so wameisha wafia Team
Yes last year Mkuu.Claude wa AFTv amefariki?