Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

There are some arsenal fans who are optimistic with a top four, nawashangaaga sana!! With this squad??? Muwe na aibu
aibu ya nini dingi?
kwahiyo tunashiriki ligi bila kuwa na malengo?
wewe juzi tuu si ulikuwa unasema top four uhakika?
 
There are some arsenal fans who are optimistic with a top four, nawashangaaga sana!! With this squad??? Muwe na aibu, mnaonekana laughing stocks
Tatizo Arsenal hatuna kocha wa maana,tungekuwa na kocha kama Conte afadhali,ila huyu tulie nae ni kituko
 
I am waiting for Arteta supporters waje na comments zao

Arteta endelea hvyo hvyo kungata na kupuliza mpaka akili ziwakae sawa

Sina la kusema but yesterday nlisema Arsenal top 4 ni mpaka Mungu apende but top 7 uhakika ,eti Mmiliki ni Kroenke,Coach ni Arteta,players ni hawa hawa tunaowajua kisha Arsenal aende top 4 ???na hawa watoto nawapa misimu 2 wa 3 lazima wawili wasepe watuachie mzigo tulionao wa mwaka 20 unaenda sasa bila big trophies za Maana tutaishia kusifia performance ohhh timu imebadilika but all in all 3 points ndio zina matter!bado Manchester United Chelsea Liverpool Tottenham West Ham Wolverhampton(2 games) hawa wote bado hatujacheza nao jamani jamani natetemeka
 
I am waiting for die hard fans waje na comments zao

Tukifunga vitimu vidogo a lot of noises erupt, lakini ukweli unabaki pale pale, bado sana mpaka tuwe na wachezaji wa maana na kikosi kipana
 
Hii vita ya kushindana na Man U & Spurs nyepesi sana, Matimu mabovu No foundation, No fundamentals, both need a good luck to win a football match, haiwezi kuwa vita ya Arsenal. Tunamaliza top four.
We mzee top 4 ya SERIA A au ?ya EPL Arsenal never ever haitafika top 4 sababu kwa ujumla daily mapungufu ya miaka nenda rudi ni yale yale kuanzia kwa Mmiliki ,Coach na Players for example Nketiah ni mshambuliaji wa kuipeleka Arsenal top 4?think twice bro
 
I am waiting for Arteta supporters waje na comments zao

Arteta endelea hvyo hvyo kungata na kupuliza mpaka akili ziwakae sawa

Sina la kusema but yesterday nlisema Arsenal top 4 ni mpaka Mungu apende but top 7 uhakika ,eti Mmiliki ni Kroenke,Coach ni Arteta,players ni hawa hawa tunaowajua kisha Arsenal aende top 4 ???na hawa watoto nawapa misimu 2 wa 3 lazima wawili wasepe watuachie mzigo tulionao wa mwaka 20 unaenda sasa bila big trophies za Maana tutaishia kusifia performance ohhh timu imebadilika but all in all 3 points ndio zina matter!bado Manchester United Chelsea Liverpool Tottenham West Ham Wolverhampton(2 games) hawa wote bado hatujacheza nao jamani jamani natetemeka
Muda arteta aliokaa Arsenal unamtosha,hawezi zaidi ya hapo,hana mbinu yoyote ya kubadili matokeo
 
I am waiting for Arteta supporters waje na comments zao

Arteta endelea hvyo hvyo kungata na kupuliza mpaka akili ziwakae sawa

Sina la kusema but yesterday nlisema Arsenal top 4 ni mpaka Mungu apende but top 7 uhakika ,eti Mmiliki ni Kroenke,Coach ni Arteta,players ni hawa hawa tunaowajua kisha Arsenal aende top 4 ???na hawa watoto nawapa misimu 2 wa 3 lazima wawili wasepe watuachie mzigo tulionao wa mwaka 20 unaenda sasa bila big trophies za Maana tutaishia kusifia performance ohhh timu imebadilika but all in all 3 points ndio zina matter!bado Manchester United Chelsea Liverpool Tottenham West Ham Wolverhampton(2 games) hawa wote bado hatujacheza nao jamani jamani natetemeka
akili ziwakae sawa mashabiki au wachezaji au uongozi wa arsenal
 
I am back, tunaenda internation break with 7 days left b4 January window is closed. Nasikia arsenal wamepanga kama ikifika jumatano haujapatikana muafaka na Dusan, biashara itakuwa imefungwa. Kifuatacho, panic buy. Hahahahaha
 
Back
Top Bottom