Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nikuomba Gabon apate hata sare then Mnyama mkali is back, dominating his own league, hivi performance ya Thomas Partey vs City ni midfield wangapi EPL wanaweza ile game?
 
Nikuomba Gabon apate hata sare then Mnyama mkali is back, dominating his own league, hivi performance ya Thomas Partey vs City ni midfield wangapi EPL wanaweza ile game?
Thomas mwenyewe pancha siku akiumia kama last season inakuwaje na replacement hakuna?angalia Manchester City wana kikosi kipana hata COVID 19 haikuwaathiri sisi Afcon na Majeruhi tunakimbilia mechi ziwe postponed at the same time dirisha la Usajili lipo wazi Management wanacheza vidali po na kombolela mpaka 1st February itafika tutaishia na tetesi za kila season za usajili
 
Nikuomba Gabon apate hata sare then Mnyama mkali is back, dominating his own league, hivi performance ya Thomas Partey vs City ni midfield wangapi EPL wanaweza ile game?
Akicheza jwa kiwango kile, sidhani km kuna midfilder inasogeza pua yake zaidi ya kante, aisee mimi ni muumini mkubwa wa wachezaji wanyumbulifu, ndio maana mimi xhaka simzimii aisee, ukimpa xhaka mali mgongoni kakabwa na hata mtu mmoja basi ujue mpira utarud ulipotoka, ila partey atafanya mazingira ata"turn" na kuendesha timu juu, namkumbuka saana mtakatifu cazorla yule jamaa alikuwa fundi kupita maelezo.
 
Hahahahahahahhahaha angalia Leo tunamnywa Brighton supu
Una kelele sana kwenye jukwaa la Arsenal wakati mechi 11 umeshinda 3 vs Leeds ambayo mlipewa penalty 2 Vs Watford ambayo Tuchel alisema mmeshinda kwa kubahatisha Bro you don't have timu ambayo itaweza kuleta tena ushindani bro sorry
 
Akicheza jwa kiwango kile, sidhani km kuna midfilder inasogeza pua yake zaidi ya kante, aisee mimi ni muumini mkubwa wa wachezaji wanyumbulifu, ndio maana mimi xhaka simzimii aisee, ukimpa xhaka mali mgongoni kakabwa na hata mtu mmoja basi ujue mpira utarud ulipotoka, ila partey atafanya mazingira ata"turn" na kuendesha timu juu, namkumbuka saana mtakatifu cazorla yule jamaa alikuwa fundi kupita maelezo.
Aseeee yule mtu alikuwa na balaa
 
Mafanikio ya timu sio mara zote huletwa na kutoa hela nyingi kwenye usajili.

We can opt to be different.

Chelsea wamelipa kiasi gani kwa Arizabalaga?? Kwa Lukaku?? Kwa Ziyech?? Kwa Werner?? Na wengine wengi. Leo wako wapi???

Sipingi timu kuwekeza kwenye wachezji wazuri, la hasha! Ila ili timu ifanikiwe kuna issue nyingi tu be taken into consideration.

Viva Mikel Arteta.
 
Tomorrow we face Liverpool, I was expecting that by this date all existing gaps would have been plugged; to everyone’s surprise, we are still spreading rumors. It is as if Edu and his team forgot that there is a January transfer window.
 
Wadau ni player yupi wa Arsenal alipata yellow card anachunguzwa na FA reason inahisiwa yellow card aliyoipata inahusiana na mambo ya betting?jina hawajalimention FA
 
Back
Top Bottom