Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sababu hasa ya Aubameyang na Lemina kuondoka timu ya Taifa ya Gabon ni utovu wa nidhamu kuliko 'sababu za kimatibabu' (Ambayo ni kweli).
Magari ya polisi yaliwanasa Wachezaji wote wawili wakiwa wamelewa mwendo wa saa 5 asubuhi ya leo wakisindikizwa na wasichana, jambo ambalo lilisababisha mapigano na maafisa wa usalama.