Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arthur will stay at Juventus. Reports, @gazzetta_it.
Hao siyo AM. NiaminiAM attackin midfield ??? Smith-rowe Øodegard
Mkuu, Melo na Dusan to Arsenal.Arthur will stay at Juventus. Reports, @gazzetta_it.
Arsenal wapo waangalia AFCON na Ghana.Alegri anasema tufanye mabadilishano ya partey na arthur, hivo kamzuia kuondoka, siku zote anampiga benchi, jana kajifanya kumuanzisha,
arthur alishamalizana na arsenal, alegri kaweka ngumu...inaonekana dili limekufa
je bodi imegeukia viungo gani, toka jana ni kimya, tuwaombe comoro wamkazie ghana, partey wiki ijayo arudi
hahahahahah wonders will never end, utoke kuchungulia pisi kali uje kuandika kitabu!!!!!!!Top 10 nals in my book:
1) Anal
2) Educational
3) Operational
4) Exceptional
5) Delusional (like arsenal fans)
6) Provisional
7) Directional
8) Sensational
9) Professional
10) Conditional
Arsenal are NOT top 10 in my books.
Ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa
I am telling you Arsenal ni pasua kichwa kwa sasa hizi tetesi ni za kila msimu na hii kitu inatufanya tushindwe kupata world class players I don't know kama Management ipo serious wao wanapata faida that's it fans wanaishia kulia lia no actions taken leo ni siku ya 17 only 13 days remaining but tumebakia na tetesi kwanza I was surprised kuona story ya Costa nkawa siamini kabisa na huyo Vlahovic wa nini wanamnganania mtu haitaki Arsenal bado mijitu inalazimisha kwa mtindo huu EPL au kuwin champions league tutaipata after 20 years to comeVlahovic is good ila sidhani kama ataleta instant impact, haya maringo aliyoanza nayo yanaweza pelekea ashindwe kutrain kwa moyo hence we will have our own Lukaku.
Mpaka sasa sijaona sehemu yoyote (Rasmi) ambayo inasema Arsenal imepeleka ofa kwa timu yeyote. Hii ndiyo timu ambayo haina mid kwa sasa na ilijipambanua kwamba ina uhitaji mkubwa wa mid na forward.
Leo ni siku ya 17 na miongoni mwa fununu za kiboya nilizozisoma ni inayodai kwamba Arsenal inamtaka Diego Costa. Babu mwingine wa kibrazil huyu waliomtangulia ni Luiz na Willian chini ya Edu, inaafikiriwa Edu (mreno) anawatengenezea mazingira majirani waBrazil penshen waipatie Arsenal.
Kama timu haijapeleka maombi rasmi kokote hii inamaanisha walisema wana uhitaji ila hawakujua ni nani wanamhitaji? Villa walijua, Barca walijua, Everton walijua na wamejua mpaka kocha hafai.
Sisi tuna mpango gani? Hata kama hii PP technic itatubeba mpaka Afcon ikamalizika so hao watakaorudi wakiumia inakuaje? Squad depth iongezwe.
Hawawezi kuwa na akili timamu, yaan arsenal wamuachie TP muda huu.Juventus want Thomas Partey as part of the Arthur deal?
