Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila nikiangalia viporo vya Arsenal najikuta

Arsenal vs Wolves
Arsenal vs Liverpool
Chelsea vs Arsenal
Tottenham vs Arsenal
Wolves kakufunga

Liver kakufunga

Chelsea kakufunga

Spurs umemfunga.

Arsenal kamfunga spurs

Kamfunga Wolves

Kafungwa na chelsea kafungwa na liva
 
Wolves kakufunga

Liver kakufunga

Chelsea kakufunga

Spurs umemfunga.

Arsenal kamfunga spurs

Kamfunga Wolves

Kafungwa na chelsea kafungwa na liva

Kunifunga mimi au kumfunga wewe kwenye round ya kwanza haizuii kukufunga round ya pili.
Viporo hua vina faida ukipangiwa vitimu vidogo vidogo ila kwa hizo timu ulizopangiwa wewe ni presha tupu maana hauna hata mechi moja ya kupumulia.
Ila naona bodi ya ligi wamewawekea mkakati wa kushiriki Europa msimu ujao.
Pole jirani ndio ukubwa huo.
 

Kunifunga mimi au kumfunga wewe kwenye round ya kwanza haizuii kukufunga round ya pili.
Viporo hua vina faida ukipangiwa vitimu vidogo vidogo ila kwa hizo timu ulizopangiwa wewe ni presha tupu maana hauna hata mechi moja ya kupumulia.
Ila naona bodi ya ligi wamewawekea mkakati wa kushiriki Europa msimu ujao.
Pole jirani ndio ukubwa huo.
Nyinyi viporo vyenu vilikua vya timu ndogo.

Kilichokukuta kila mtu anajua
 
Ousmane Dembele: Barcelona tell winger he will be sold in January after turning down new contract

Ousmane Dembele has turned down Barcelona's offer of a new contract as it was on reduced terms; Barca face losing the French forward for free in the summer so want to sell this month; Dembele joined Barcelona for £135m in 2017

By Kaveh Solhekol, Sky Sports News reporter



Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Wachezaji waliopata yellow card December ni Ramsdale, Odegaard, Partey, Saka, Xhaka, Gabriel, Martinelli na Holding.

FA inamchunguza mchezaji kwa ajili ya yellow yenye viashiria vya kubet. Inadaiwa kwamba anayechunguzwa ni Xhaka na yellow inayochunguzwa ni ile tuliyocheza na Leeds ambapo tukiwa tunaongoza 4 - 1 Xhaka akapata kadi kwa kupoteza muda.

Tuassume ni kweli kuna mchezaji kafanya hivyo. Mchezaji analipwa 100K+ kwa wiki unadhani ni kiasi gani kinatosha kumfanya ashiriki katika hii bet? Naamini inatakiwa iwe pesa nyingi kweli kweli maana hii ishu ikibumburuka na career yako inaweza ikawa ndiyo imeisha.

So let's hope siyo kweli and let's hope siyo Xhaka kwakua red tu zinafanya achukiwe na hili likiingia kwenye huo mchanganyiko itakua mwisho wake kimpira.
Kwa xhaka yote yanawezekana
 
Leo katika eneo la middfield ndio linanichanganya mpaka sasa.

Sijui Sambi atakaa na nani pale kati.
 
Barcelona will lose this battle.

I am sure dembele will be happy to be frozen for the next 6 months.

He is targeting the signing fee come summer
Wamesema lazma aondoke,maana na wao hawataki kumuacha free bila ya sent,hapo ndio timu zitakapofaidika maana atapigwa bei ya boss kalewa

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom