Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Angebaki kwa kumtimizia Matakwa yake leo tungekuwa na average goalkeepers wawili ambao wana on na off peak. Lakini kuuzwa kwake tumepata young and talented one.
Emi na Aaron wote hawamfikii Leno
 
Emi na Aaron wote hawamfikii Leno
Post-GW21 #PremierLeague #GK 1v1 Rankings: #Ramsdale remains the king of 1v1s!

How long can he hold onto top spot? #Sa & #Alisson have also been formidable during 1v1s! #EFC, #CPFC, & #NUFC will hope their GKs stop gifting 1v1 goals to the opposition in the new year!

1642313511872.png
 
Aaron Arsenal na DullyJr Leno ametufikisha 3rd katika list ya least goals conceded huku tukiwa na shaky defense sooner baada ya defense yetu kusemwa haijiwezi.

Leno ni mzuri katika shot stopping anachokosa ni communication na zile punt ball ambazo Aaron anazo. So Leno will fare well katika timu ambayo haitamhitaji awe anatoa maelekezo au anatarajiwa azipige punt ball.

Kwa sasa hapo Arsenal Leno ataonekana yupo chini ya Aaron kutokana na msimu tunaoupitia ila Leno hafikiwi na Emi wala Aaron ukija kwenye shot stopping.
 
overall leno kazidiwa vitu vingi, moja ya kitu arteta anasema alikipenda kwa ramsadale ni vipi akifungwa anakuwaje,, leno ni shot stopping mzuri shida yake mpole kwa defenders wake, ball distribution kazidiwa sana na rams,
 
Arteta has revealed Ben White is an option to play in midfield for Arsenal amid selection issues.

"It’s an option that we have. He has played there before."
“He has played as a central defender, he’s played as a right-back and he’s played in a back three. That’s one of the positive things with Ben, that he has the capacity to play in different roles.”

[Simon Collings]
 
kuna kijana yupo U23 anaitwa omari na mwingine Msweden striker, nawaona soon wanatoboa kuliko balogun ,
 
overall leno kazidiwa vitu vingi, moja ya kitu arteta anasema alikipenda kwa ramsadale ni vipi akifungwa anakuwaje,, leno ni shot stopping mzuri shida yake mpole kwa defenders wake, ball distribution kazidiwa sana na rams,
Wakati mwingine nahisi communication ni ngumu kwa Leno kwa ajili ya lugha. Kwa kiwango chake naamini anaondoka soon, nitashangaa akibaki.
 
Mpaka sasa Arsenal haina makubaliano na Juventus or Fiorentina kuhusiana na kusign players wao na today ni 16th January inawezekana the same stories kuhusiana na tetesi za usajili kujirudia tukaendelea kubakia na kina Nketiah na Xhaka
 
klabu inapambana sana kumaliza hizo deals, upande wa pili ndio kuna vikwazo

According to @corriere
.. Arsenal made an official offer of 60 million euros + Torreira to contract with Vlahovic.. the offer is "attractive" and the president wants to sell it .. but the player and his environment are elusive and do not want to give a decision now..

1642329470655.png

New contacts between Arsenal & Juve for Arthur is expected on Monday/Tuesday. But Juve stance is the same, without a replacement they won’t do a deal

@GoalItalia
 
View attachment 2083582

New contacts between Arsenal & Juve for Arthur is expected on Monday/Tuesday. But Juve stance is the same, without a replacement they won’t do a deal

@GoalItalia
Same scenario na ya Aouar.

Mwisho wa yote hatuna AM hadi leo.

Mi siamini kwamba ST ni huyu tu. Pengine wanapretend wako bize na huyu dirisha likifungwa tujifariji kwamba at least walionyesha wana nia.

Ni upuuzi.
 
AM attackin midfield ??? Smith-rowe Øodegard
 
Kulingana na @johncrossmirror Arsenal wanamuhitaji beki wa pembeni wa kulia Middlesbrough, aliyetolewa kwa mkopo kwa Nottingham forest, Djid Spence, 21yrs. Arsenal walianza kumfuatilia baada ya uchezaji wake wa kuvutia dhidi yao kwenye mechi ya kombe la FA.

Image

1642356212141.png
 
"Siku zote tulikuwa na Arsenal mioyoni mwetu. Kulikuwa na Arsenal, Chelsea, Watford, Tottenham, labda [vilabu] viwili zaidi. Arsenal ndio nilitaka kwenda kila mara, walikuwa na imani kubwa na vijana. Baba yangu alimpenda Arsène Wenger.” #AFC

-Bukayo Saka
1642356330436.png
 
Back
Top Bottom