Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi huwa simkubaligi Arteta because Arsenal hainaga consistency at all Arsenal atacheza mechi 4 mfululizo atashinda zitakuja games 3 ana lost kisha anaanza kushinda tena tayari FA cup out imebakia Carabao then top 4 mhhh yangu macho hataambulia kitu Arteta kwa nayemjua mimi unafungwa na Nottingham ambaye mechi 3 mfululizo amepoteza hajapanda ushindi kwenye ligi yao?

Mind you Arsenal ana 0 on target mechi nzima

Goodnight Guys
 
Leo akicheza vizuri, kesho anabadilika
Cc relief mirzska
Yaani bro ndio nashtuka hapa. Wamekuja watu kunifuata home ndio nimeamshwa. Nilizima kabisa na Leo ndio siku ya kwanza msimu huu nakosa game.

Travelling tonight
 
Carabao sijui FA wala hazipaswi kutuumiza kichwa

Inshu ipo kwenye ligi

Jpili tupo na spurs,
Xhaka ana covid
Nile yupo Roma
Partey na elneny wapo AFCON

Techinically safu ya kiungo itakua chini ya Sambi Lokonga
Tuseme AMEN
 
Naandika 'Newcastle alipigwa kimoja' hata nusu saa haijamalizika na sisi tunakufa kimoja
 
Hahahahahaaa timu la ki fala sana
Carabao sijui FA wala hazipaswi kutuumiza kichwa

Inshu ipo kwenye ligi

Jpili tupo na spurs,
Xhaka ana covid
Nile yupo Roma
Partey na elneny wapo AFCON

Techinically safu ya kiungo itakua chini ya Sambi Lokonga
Tuseme AMEN
 
Tujifariji kwa kusema kwamba hii game itamfosi Mustach atoe pesa ya usajili haraka
 
Tujifariji kwa kusema kwamba hii game itamfosi Mustach atoe pesa ya usajili haraka
Umwambie asajiri na wachezaji wa kikosi b maana ni aibu mechi nzima short on target ni 0 kisa TU kina Rowe,Laccazate,Saka,Xhaka,Ben white hawakushiriki.
 
haipaswi kutoa lawama kwa arteta ,ndio kikosi alichonacho ,timu inatakiw kusaji ,iwe n kikosi kipana chenye wachezaji bora kuanzia wnaoanza ad wal wanaotokea benchi.
 
Back
Top Bottom