Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Vipi tena mkuu??
Simkubali Calvert Lewin
Vipi tena mkuu??
That's why tunatukanwa mtaani kwa kushindwa kushindana na magiants kwenye big trophiesSimkubali Calvert Lewin
hivi seriously unaweza ukamention kuwa Calvert Lewin ni player sahihi wa kuscore 20 goals per season?then kuna fans shingo zinawatoka humu kuwa huyo ni one among the best players?tuna utani sana na achievements kwa Big club kama ArsenalHakujiamini kutokana na forward yake, sasa kaona ngoja akakijaribu kikosi kwa haoLiva iliomba kuahirisha game ya Arsenal Alhamis ila leo Jumapili yuko uwanjani.
Hiki ni nini?
Nilifikiri kuna body ya kucontrol ishu hizi na siyo utashi wa klabuHakujiamini kutokana na forward yake, sasa kaona ngoja akakijaribu kikosi kwa hao
HoooorraaaaayDakika ya 78 Liverpool anapata Goal la tatu.
Ni kawaida mkuu kwenye footballSimkubali Calvert Lewin
Ni udhaifu wa uongozi wa board yao la league, lakini tusijali hii inatuonesha kuwa speed aliyonayo Arsenal kwa sasa ukikaa vibaya anakuumizaNilifikiri kuna body ya kucontrol ishu hizi na siyo utashi wa klabu
@computerarsenalThat's why tunatukanwa mtaani kwa kushindwa kushindana na magiants kwenye big trophieshivi seriously unaweza ukamention kuwa Calvert Lewin ni player sahihi wa kuscore 20 goals per season?then kuna fans shingo zinawatoka humu kuwa huyo ni one among the best players?tuna utani sana na achievements kwa Big club kama Arsenal
Duniani wachezaji wabaya wapo tena wengi tu.@computerarsenal
Duniani hamna mchezaji mbaya.
Mchezaji anaonekana kua mbaya endapo akishindwa ku adapt mfumo wa kocha husika.
Mo salah,KDB na Guardado walionekana Chelsea ni wabovu na mwishowe wakaondoka ila leo ni story nyingine kabisa.
Coutinho pia ni same story ndio maana mpaka sasahivi anaonekana 'average player'.
Kuhusiana na DCL ni kweli mchezaji average lakini sio sahihi kama wewe unavyo mu underrate kua hawezi fanya chochote Arsenal.
Watu walibeza Sana usajili wa Andy Robertson kutoka Hull City iliyoshuka daraja,watu waliponda Leicester city kumsajili Harry Maguire Lakini wakamuuza Utd kwa hela ndefu kutokana na performance yake.
Binafsi nina imani dogo akija then aka cope with our style of playing atafanya vizuri sana.
@CastrMkuu Roberton alijiunga Liverpool July 2017,2018 akacheza final ya UCL na 2019 akachukua ndoo.
2018/2019 alipiga assist 11 EPL.
Sizani Kama huo muda ni mrefu kiivo tangu atoke hull city ila mfumo tu ulikua favorite kwake.
DCL kama mfumo utakua favorite kwake ni vema asajiliwe tu kuliko kumleta Dusan ambaye ana conditions nyingi ili tusije tukatoa fedha nyingi yakaja kua kama ya NP19.
kabisaTavares mpira umemkataa leo
Huyu Tavares mnamuelewa kweli