Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

@computerarsenal

Duniani hamna mchezaji mbaya.

Mchezaji anaonekana kua mbaya endapo akishindwa ku adapt mfumo wa kocha husika.

Mo salah,KDB na Guardado walionekana Chelsea ni wabovu na mwishowe wakaondoka ila leo ni story nyingine kabisa.

Coutinho pia ni same story ndio maana mpaka sasahivi anaonekana 'average player'.

Kuhusiana na DCL ni kweli mchezaji average lakini sio sahihi kama wewe unavyo mu underrate kua hawezi fanya chochote Arsenal.

Watu walibeza Sana usajili wa Andy Robertson kutoka Hull City iliyoshuka daraja,watu waliponda Leicester city kumsajili Harry Maguire Lakini wakamuuza Utd kwa hela ndefu kutokana na performance yake.

Binafsi nina imani dogo akija then aka cope with our style of playing atafanya vizuri sana.
@NAJYUZ I agree with you but kwa sasa hatuhitaji mbahatishaji kwenye position yoyote ile for example Tavares Lokonga Pepe Xhaka Cedric yaani a lot of players ambao Arsenal kawasajili wamekuwa useless nlifikiri Board members watabadilika pamoja na Edu mwenyewe kwenye kuselect good players but hata tetesi hizi za usajili zinazoendelea bado sijaona mchezaji anayefit kuchezea Arsenal hata attackers ambao tunahusishwa nao bado sijaona wa kuscore 20 goals per season kama Auba kwa misimu kama 10 sasa Arsenal haijawahi kucover areas zote kamwe I don't know tatizo sijui ni nini utakuta tuna attackers wakali but beki mbovu mara kipa mara kiungo
Unasema dunia haina mchezaji mbaya sikatai may be unaweza kuta tukamsajili Calvert na akaja akashine but huwa inatokea bahati sana mara chache kwa player kuperform kwa kiwango cha juu kwa type wa wachezaji wa namna hyo but let's wait and see bado sijaona player ambaye kwenye tetesi unaweza ukasema huyu yupo sahihi that's why humu jukwaani kuna watu wanamtaka Isack mara Vhalo yote inatokana na kuwa sawa ni good players sikatai ila je ni machaguo ya kutupa matumaini?kuwa na sisi kama top team tukisema tuna mfungaji tunaweza toka kifua mbele?
 
Tavares kacheza vibaya kwa mtazamo wa mashabiki wa humu ila stats na overall rating zipo juu.

Witch
 
Unachokiona hapo hiyo sasa ndiyo low block in action haya kwa hawa ST tunahusishwa nao yupi anaweza saidia kutanua defence?

I mean ST ambaye anajua kujiposition na mwenye pace ya kukimbilia thru balls.

Anayeweza hold mpira na kutoa pasi sahihi.

Anayeweza kutafuta chance ya kuscore.
 
With this passionless display minus determination ni bora liva imeomba kuahirisha mechi au?
 
Hahaha dah

Anyway tulivyotolewa europe tukasema tunapata muda wa kujiandaa leo vipi
 
Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom