Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Ndugu unajua hizi stats sometimes zinatumislead.Niliachoandika ni kitu ambacho nimekiangalia kwa msimu mzima. Hua natafuta data kwa mchezaji ambaye sijamuona akicheza, ila Dom na Tammy ni wachezaji ambao sidhani kama wanafaa Arsenal.
Kama una data zinazoonyesha Dom ana magoli kuzidi forward za Arsenal, pace na retention ya kumzidi Auba (ambaye sasa hivi hatusaidii) zilete nijifunze.
Unajua ukimchkua saka ukampeleka Southampton atakuwa kimeo na ukimchkua ward-prowse ukamleta gunners ni midfielder mzuri??

