Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,500
- 6,459
Aje kufanyaje pale?
Aje kufanyaje pale?
Naona tunalishana Matango pori.
Dominic Calvert-Lewin
Huyu Dominic siyo mchezaji wa kuja kuchezea Arsenal ya sasaDominic Calvert-Lewin
Huyu Dominic siyo mchezaji wa kuja kuchezea Arsenal ya sasa
Hua nashangaa sana watu wanavyoonyesha wanatamani aje Arsenal. Kama unaangalia games za Everton Dom ni mzigo, same na tammy100% agree, overrated but he has nothing to show
Vipi tena mkuu??Duh!
Inawezekana!Huyu Dominic siyo mchezaji wa kuja kuchezea Arsenal ya sasa
Tatizo kubwa ninaloliona Kwame ni injuriesHua nashangaa sana watu wanavyoonyesha wanatamani aje Arsenal. Kama unaangalia games za Everton Dom ni mzigo, same na tammy
Katika games za Everton ambazo watachezewa low block Dom anakua mzururaji. Pia hua naona hana pace, hana vision ya passing na hawezi kukaa na mpira. So ni agewe mpira ascore, ni kama Tammy huyu jamaa.Tatizo kubwa ninaloliona Kwame ni injuries
Akiwa mzigo kwenye Structure ya Everton haimaanishi atakuwa mzigo Arsenal, ubaya wake ni upi?Hua nashangaa sana watu wanavyoonyesha wanatamani aje Arsenal. Kama unaangalia games za Everton Dom ni mzigo, same na tammy