Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuvutwa shati bali alishikwa shati na hajaanguka kwa hiyo sababu ila penati ilitolewa kwa sababu hiyo. Sawa refa ametoa penati lkn je ni kosa la kumwagushia zigo Xhaka??
We unadhani hiyo sio lawama, mko mbele ya city, kisha unafanya kosa kama hilo ndani ya box, hilo kosa halipaswi kufanywa na mchezaji, hasa katika mazingira tuliyonayo, tunapambania nafasi ya 3-4,

Yeye na gabriel zigo hawawezi kulikwepa.
 
Ilibidi tupate mtu mwingine jamii ya partey, mido mnyumbulifu ni mzuri haswa kwa timu zinazokaba jamii ya city na liver, wakija wawili anadash anaturn kwa adui anaanza moja ila mido jamii ya xhaka, akipewa mali basi atairudisha huku huko ilipotoka mpira kama una moto
 
Kiukweli hata mimi jana arsenal wamenikosha na ndio maana game ya jana ni game iliyoniuma zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.
 
Kiukweli hata mimi jana arsenal wamenikosha na ndio maana game ya jana ni game iliyoniuma zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.
Game ya msimu uliopita against liva Laca anaanza kuscore.

Timu ilikua haionyeshi determination wala hamu ya kupambana jana was different na kiukweli matokeo ya jana hayajaniuma considering timu ilipambana. Hua zinaniuma mechi ambazo tunapigwa halafu timu inaonekana shaghala baghala.
 
Natumai umeona mtu anadiriki kumtukana my mother sababu ya Mpira hivi nikimjibu tena kwa matusi makali ntakuwa na kosa?but nimemsamehe Mungu atamlipia
Thats growth and self control.

Mtu ukiwa unaoga bafu la nnje chizi amipita na taulo lako ukitoka uchi kumfukuza watu watasema Kichaa yupo uchi anamfukuza mtu na sio vinginevyo. Wewe umekataa kumfukuza Ukiwa uchi na utafsiriwe wewe mwenye shida Kichwani

Nimependa matumizi yako ya Busara na kusamehe.

Thats sportsmanship broda.
 
City kutufunga amezidi kuwaacha Chelsea na Liva this means Liva anaweza pitisha msimu mwingine bila kikombe hili litasababisha akomae na trophy yoyote atayoweza ipambania that includes carabao so hii Alhamis nadhani watakuja wamenuna.
 
Wakija wamenuna tutawapasua Vibaya. Labda VAR na Refs wawe upande wao kama kawaida tulivyoziea
 
Bado wanapigika tu. Muhimu wachezaji wetu waongeze concentration iwe 100% kwa match yote. Na yale makosa yatokanayo na concentration hayatakuwepo.
Kuwaepuka divers kama Salah na Mane, the concentration we need
 
I hope mneangalia Game ya Fools VS Chel$ea,

Kesho tukiwa na Muda tuiongele tactically and Players maturity kwenye kila Position.

Kisha tufanye comparison na team yetu kisha tuconclude are we on the right track au bado sana kufikia level hizi za ushindani!?
 
Game ya Leo Liverpool vs Chelsea ,,,, harafu umuweke arsenal katikati ... unafikili Nini kingetokea kama sio kupigwa goli 8-0
 
Game ya Leo Liverpool vs Chelsea ,,,, harafu umuweke arsenal katikati ... unafikili Nini kingetokea kama sio kupigwa goli 8-0
Usisahau pamoja na terminologies zote unazoweza kuzitumia kuelezea ubora wa Chelsea, Liverpool,man city na man u kama vile squad depth, maturity of players, squad discipline, pressing skills, holding skills,class of each individual na pitch performance ya solo players,,,,,,bado there is something you have no guts to mention it.that something is BAHATI.
Hili it's up to heavens to decide.
 
So Arsenal is the youngest team in the Premier league, and you want to compare players' maturity against other sides, and you get majority of comments for this one? Are you serious?
 
Game ya Leo Liverpool vs Chelsea ,,,, harafu umuweke arsenal katikati ... unafikili Nini kingetokea kama sio kupigwa goli 8-0
We nae mbona uko obsessed na Arsenal, mtu mzima unashabikiaje timu ya 2011, shida ya kutazama soka ukubwani hii
 
We nae mbona uko obsessed na Arsenal, mtu mzima unashabikiaje timu ya 2011, shida ya kutazama soka ukubwani hii
Mkuu ule mkiki mkiki wa wanaume harafu uwaweke kina tomiyasu ,sijui lukonga Wala ulojo wa Zanzibar ni kula kipondo cha goli 8+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…