computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Mwisho tumepata nini?na Top 4 tutatoka tu mechi rahisi kama hii tumeipoteza na ntakukumbusha hii game itatucost kwenye mbio za Top 4 problem ya Arsenal kwenye big games ni lack of concentration and discipline na hata Castr na Mysterio wanaliongeleaga sana hili kufungwa tumefungwa na Top 4 ishakuwa mtihani next game vs Conte Manchester City ameshinda sababu hizi hizi game tulishaishinda kabisa ghafla penalty mara Red card hata first game Red card ilitolewaNina hasira
Tumecheza vizuri sana
Watakaolalamikia wachezaji au chochote ni atakuwa msenge.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16] mavimaviTop three nipo mwaka huu,,,,
Hehehehe! Arteta is next level.Arteta alitakiwa kukomaa kwa kuwa na team ndogo kwanza na sio kuvamia huku juu
Mwisho wa 94 ilikuajeMpaka dakika ya 86 shot on target ya City ilikua ni penati
[emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16] wat a comback mlishaanza kuongea kingreza kama walevOne of the best first half I have seen against City by any team.. Amazing energy amazing dedication.. Without Auba we are so much more energetic and positive in attack..
Are you seriousMwisho tumepata nini?na Top 4 tutatoka tu mechi rahisi kama hii tumeipoteza na ntakukumbusha hii game itatucost kwenye mbio za Top 4
Sasa tumefungwa au hatujafungwa?tatizo la Arsenal ni lack of concentration and discipline katika big games na hili tatizo halijatatuliwa kamwe Manchester City leo kapata ushindi wa kishenzi kabisa vs Arsenal sema hata refarii nae alaaniwe mechi zijazo asichezeshe Odeegard kanyimwa penalty kabisaAre you serious
sijawah amini ushuzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]lleo nlkua nataka mnizuilie kipara lakin nikifkiria zile 5 mnapigwagwa nakata tamaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]
mshaanza kutoa kauli za kijane na yatima[emoji16][emoji16][emoji16]What happened happened.
#WeMove
Mkuu Arsenal na City ipi ni team kubwa?.Arsenal ni timu ndogo Sana iliyojaa watumia nguvu bila akili[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
we mzee unashida gani?Mwisho tumepata nini?na Top 4 tutatoka tu mechi rahisi kama hii tumeipoteza na ntakukumbusha hii game itatucost kwenye mbio za Top 4 problem ya Arsenal kwenye big games ni lack of concentration and discipline na hata Castr na Mysterio wanaliongeleaga sana hili kufungwa tumefungwa na Top 4 ishakuwa mtihani next game vs Conte Manchester City ameshinda sababu hizi hizi game tulishaishinda kabisa ghafla penalty mara Red card hata first game Red card ilitolewa