Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unagawa long term contract kwa ST wa 30 years kichwani una makaratasi au?

Wote tunaangalia mechi wote tunaona Auba na Laca nani ana hard work, nani anazurura uwanjani kuwinda mpira, nani akipoteza mpira hasimami anaurudia. Pia kuna takwimu na heat maps za wachezaji wote kama kuna mechi utakua haujaangalia.
Kwa hiyo Auba alivyopewa 3.5 year contract alikuwa ana miaka 25?

Rudi kagoogle maana ya press mkuu

Kwa maana nyepesi press ni pressure, unaposema Auba anazidiwa na laca kupress that's a counterintuitive argument. Wachezaji wote ambao ni pressing machine sifa yao kubwa ni pace.
 
Mid ya liva yote haina pace.

Mid ya chelsea mwenye pace ni kante pekee.

Yet hizo timu zinafanya pressing nzuri sana.

Kupress hufanywa as a unit, recently Auba hawi ndani ya unit na hichi ndicho kazidiwa na Laca.

Mimi sihitaji kugoogle ishu basic kama hiyo akirudi kutoka Afcon akipata namba tutaona anavyopress.
 
Km Auba atakuwa mtu wa kubadilika basi chance ya kuruhusiwa kwenda afcon mapema itamfanya ajirekebishe
 
Auba anauzwa mkuu, Arteta huwa anaanza Kama utani ila ndo anakuchinjia baharini hivyo

Rejea issue ya Ostaadh Mesut Ozil
 
January ishafika yaweza akauzwa akiwa afcon
Would be a blessings.

Lacca akipewa Nyongeza ya Kandarasi aikatae ile laana ya 350k ni mtego na njia ya kutokea. Aishie kwenye 250k achape kazi.
 
A makeshift right back against the best team in world football right now is NOT ideal😪
 
Mid ya liva yote haina pace.

Mid ya chelsea mwenye pace ni kante pekee.

Yet hizo timu zinafanya pressing nzuri sana.

Kupress hufanywa as a unit, recently Auba hawi ndani ya unit na hichi ndicho kazidiwa na Laca.

Mimi sihitaji kugoogle ishu basic kama hiyo akirudi kutoka Afcon akipata namba tutaona anavyopress.
Liverpool huwa naitazama sana this season wanacontrol games through high line press kumaintain their width and depth lakini still off the ball wanastrugle kwa kumkosa Wijnaldum( athlete), bado huoni umuhimu wa pace within press?

Kupress as unit, unahitaji individuals wa kiswitch targets within press, Ni kivipi Odegaard anaweza kupress kama Auba hajaInitiate move? Unahitaji kuelewa zaidi unachokitetea.
 
If Tomiyasu isn't available Arsenal's build up collapses, Kucheza na wachezaji kama Cedric Soares ni kujitafutia matatizo kwenye game kama hii.
 
Liverpool huwa naitazama sana this season wanacontrol games through high line press kumaintain their width and depth lakini still off the ball wanastrugle kwa kumkosa Wijnaldum( athlete), bado huoni umuhimu wa pace within press?

Kupress as unit, unahitaji individuals wa kiswitch targets within press, Ni kivipi Odegaard anaweza kupress kama Auba hajaInitiate move? Unahitaji kuelewa zaidi unachokitetea.
Actually upo sahihi. Auba anapress kuliko Laca, in fact nafikiri Laca itabidi arudi bench ili tufaidike na pressing ya Auba.

Sielewi hata kidogo ninachokiongea nimefurahi umenionyesha jinsi gani siielewi defensive tactics za mpira.
 
The best way to defend is by attacking, na attack nzuri ni ile inayoweza kumiliki mpira wakati wote wakitafuta upenyo.

Kwa sasa team inamatokeo mazuri baada ya Mr Pressing kuwekwa kando. Aliyejuu mwalimu hatimae amejua namna ya kumtumia, anamiliki mali na kuisogeza team isaidie kushambulia.

Mr pressing hawezi hilo Jukumu ndo maana team ilikuwa inalazimiaka kupress na daima tulikuwa tunalazimika kulinda na sio kushambulia.

Lacca anatimiza majukumu yake ya ushambuliaji very effective and efficient na hatimae team ina balance kati ya ushambuliaji na ukabaji.
 
Leo city anakufa vizuri tu
IMG-20211231-WA0023.jpg
 
Auba amechezeshwa na Laca msimu huu lakini bado Laca ameonekana kujituma kumzidi Auba msimu uliopita ilikua wakicheza pamoja Laca anakua bull striker wa kulazimisha njia au kudistract wakati poacher Auba atascore.

Msimu huu mambo tofauti. Wako pamoja yet unaona mapengo ya Auba katika kupress, the reason ilikua hawezi kua dropped ni ukapteni. Kajichanganya kaharibu it became easier kwa Arteta kumuacha nje.
 
Actually upo sahihi. Auba anapress kuliko Laca, in fact nafikiri Laca itabidi arudi bench ili tufaidike na pressing ya Auba.

Sielewi hata kidogo ninachokiongea nimefurahi umenionyesha jinsi gani siielewi defensive tactics za mpira.
Lacazette & Auba dont fit the bill quality wise within system, kila mmoja ana flaws zake na ndio maana tunahunt for a new ST, Sio suala la kuchukia hata.
 
Back
Top Bottom