Na Barca ila kwa umri wake naona atafit zaidi JuveNiliona somewhere kama Juve wanamtaka hivi
Juve patamfaa sana.Na Barca ila kwa umri wake naona atafit zaidi Juve
Auba ni top class player ila kwa sasa form yake ni mbaya sana. Nadhani akijiona kuwa alikosea na kuomba msamaha kisha akajituma ni imani yangu kuwa atarudi kwenye form ila km atakuwa na kiburi na kujiona yuko sawa basi hana budi kupambana na matokeoKatika hili wengi tumeside na coach. January ikija ofa naona hawezi kubaki.
Hata hivyo umri wake ni kikwazo kingine. Sidhani kama Arsenal itataka kua na wachezaji wawili katika nafasi moja ambao wote wapo kwenye 30s haswa kipindi hichi ambacho Arsenal inataka iwe na youngsters watakaokua pamoja.Auba ni top class player ila kwa sasa form yake ni mbaya sana. Nadhani akijiona kuwa alikosea na kuomba msamaha kisha akajituma ni imani yangu kuwa atarudi kwenye form ila km atakuwa na kiburi na kujiona yuko sawa basi hana budi kupambana na matokeo
si ndiyoAnataka atujaze halafu atubomoe
Auba ana mkataba na yupo kwenye 30'sHata hivyo umri wake ni kikwazo kingine. Sidhani kama Arsenal itataka kua na wachezaji wawili katika nafasi moja ambao wote wapo kwenye 30s haswa kipindi hichi ambacho Arsenal inataka iwe na youngsters watakaokua pamoja.
Na kwakua Barca ina project hiyo hiyo sehemu sahihi kwa Auba ni Juve
Kama kila kitu kingekua sawa Auba ndiye alikua wa kubaki lakini Arteta na nidhamu ni mapacha Guendouz ilibidi awe case study kwa Auba ila kapuuza.Auba ana mkataba na yupo kwenye 30's
Lacca mkataba wake unafika ukomo kiangazi hiki. Kama hatutamshawishi Lacca kubaki basi ni hekima kumbakiza Auba kama snr Citizen kuwalea vijana ingawa amekuwa wa mfano mbaya kinidhamu.
Lacca ni holding striker na ni wachache sana wa aina yake. Kina aina ya Game anahitajika sana kwa ajili ya lucreate space kwa wanaotokea nyuma yake. Ila unahitaji vlinical number 10. ESR anahitaji kuongezeka nguvu kidogi tu kufit kwenye hiyo position.Kama kila kitu kingekua sawa Auba ndiye alikua wa kubaki lakini Arteta na nidhamu ni mapacha Guendouz ilibidi awe case study kwa Auba ila kapuuza.
Too bad ni kwamba he gets dropped and goals start flooding in ingekua tunafungwa mashabiki tungesema Auba achezeshwe ila tunashinda hakuna anayejali.
Laca anapress Auba hafanyi hivyo
Hawa wawili wakibaki wote watanyima vijana nafasi. Also Auba form yake siyo nzuri sana na tunahitaji kila ushindi itakua maajabu kucheza kamariLacca ni holding striker na ni wachache sana wa aina yake. Kina aina ya Game anahitajika sana kwa ajili ya lucreate space kwa wanaotokea nyuma yake. Ila unahitaji vlinical number 10. ESR anahitaji kuongezeka nguvu kidogi tu kufit kwenye hiyo position.
Lacca anatakiwa kushawushiwa abaki na Auba aso he mbele.
Wale uliowaambia wana IQ ndogo ulidhani sio matusi?.. Kwa kweli mnatuchosha na matusi yenu!.. Hamna staha kabisa, halafu mnajifanya mna IQ kubwa.. Kiukweli mm nikiona mtu anatukana watu hapa huwa namdharau sana... Toka lini mtu anayetukana tukana watu hovyo akawa na IQ kubwa?Naona tumefukia Kutukanana!?
Nitapynzika kwenye huu uzi kwa Muda Kuwapisha walioamua luunajisi waendelee kunajisiana kwa matusi.
Asanteni watu wa mpira msiojua staha na guraha ya Mpira bila Matusi.
Kila la kheri
Hebu rejea Juu tafuta post niliyomshambukia mtu na Kumwambia ana IQ ndogo. Usinilishe maneno nisiyopenda kuyatumia kwa watu maana nikiitwa mimi kwa namna hii sitapendezwa.Wale uliowaambia wana IQ ndogo ulidhani sio matusi?.. Kwa kweli mnatuchosha na matusi yenu!.. Hamna staha kabisa, halafu mnajifanya mna IQ kubwa.. Kiukweli mm nikiona mtu anatukana watu hapa huwa namdharau sana... Toka lini mtu anayetukana tukana watu hovyo akawa na IQ kubwa?
Hizi lugha katika soka wala hazina taste mkuu.Amfifiro inakuja andaeni vilainishi
Kwamba Lacca anapress kuliko Auba! are you serious? Auba is a pressing machine, the qualitative difference ni kwamba wote ni typical Traditional strikers lakini laca anaweza kucheza km false 9,Kama kila kitu kingekua sawa Auba ndiye alikua wa kubaki lakini Arteta na nidhamu ni mapacha Guendouz ilibidi awe case study kwa Auba ila kapuuza.
Too bad ni kwamba he gets dropped and goals start flooding in ingekua tunafungwa mashabiki tungesema Auba achezeshwe ila tunashinda hakuna anayejali.
Laca anapress Auba hafanyi hivyo
Hili swali ungeniuliza msimu uliopita ningejibu Auba ila kwa msimu huu nakujibu nikiwa serious.Kwamba Lacca anapress kuliko Auba! are you serious? Auba is a pressing machine, the qualitative difference ni kwamba wote ni typical Traditional strikers lakini laca anaweza kucheza km false 9,
Picha inajielezaView attachment 2064506
Unafurahisha sana, moja ya kitu laca Alikuwa analaumiwa game na Liverpool ni kushindwa kumtrack Alcantara Akidrop to find a free man, Arteta akaona amdrop laca na kumrudisha Ø Kwenye best X1 ili kuleta Compact press, Laca karudi baada ya Auba kumisbehave and not otherwiseHili swali ungeniuliza msimu uliopita ningejibu Auba ila kwa msimu huu nakujibu nikiwa serious.
Laca anapress kuliko Auba
Unagawa long term contract kwa ST wa 30 years kichwani una makaratasi au?Unafurahisha sana, moja ya kitu laca Alikuwa analaumiwa game na Liverpool ni kushindwa kumtrack Alcantara Akidrop to find a free man, Arteta akaona amdrop laca na kumrudisha Ø Kwenye best X1 ili kuleta Compact press, Laca karudi baada ya Auba kumisbehave and not otherwise
Jiulize Kama laca ni mzuri kupress, na wote tunajua anaweza kulink up play kwanini Arsenal isimpe new long term contract?
Wewe Lokonga unapaswa utoswe baharini ukiwa umefungwa jiwe kubwa, ndiye unayeharibu reputation ya club.Huyu dingi asitujaze