Hakuna ugumu wowote ,zaidi hapa arsenal anenda kupigwa tu goli 3+Mechi ya leo ni ngumu ukizingatia arteta hatakuwapo kwenye dugout ila hata kwa Man City itakuwa ngumu na magoli ni mengi leo. Kwa form ya arsenal hawatakubali kubugizwa magoli kinyonge pale Emirates.
Inawezekana lakini haitakuwa kizembe kama mechi zilizopitaHakuna ugumu wowote ,zaidi hapa arsenal anenda kupigwa tu goli 3+
Mentality ya ulinzi usio na kichwa wala miguu imetumaliza katika baadhi ya mechi na kukosa ST aliye kwenye form kumetufungisha katika games kama ya Brentford.Leo city anakufa vizuri tuView attachment 2064767
Arsenal ushindi wake itakuwa draw ,yaani hapoo ndio atashangilia week nzima ...Inawezekana lakini haitakuwa kizembe kama mechi zilizopita





Sawa MWANANCHIArsenal ushindi wake itakuwa draw ,yaani hapoo ndio atashangilia week nzima ...
Sioni namna yeyote ya arsenal kutufunga aisee hata tucheza watu 9 uwanjan![]()
Unasema "Ndio maana timu ilikuwa inalazimika kupress"The best way to defend is by attacking, na attack nzuri ni ile inayoweza kumiliki mpira wakati wote wakitafuta upenyo.
Kwa sasa team inamatokeo mazuri baada ya Mr Pressing kuwekwa kando. Aliyejuu mwalimu hatimae amejua namna ya kumtumia, anamiliki mali na kuisogeza team isaidie kushambulia.
Mr pressing hawezi hilo Jukumu ndo maana team ilikuwa inalazimiaka kupress na daima tulikuwa tunalazimika kulinda na sio kushambulia.
Lacca anatimiza majukumu yake ya ushambuliaji very effective and efficient na hatimae team ina balance kati ya ushambuliaji na ukabaji.
but Arsenal also is one of the biggest team in the world kuwa kila akikutana na giants wenzake hapati matokeo itakuwa haina maana ya Arsenal kujiita Big giantNakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa, though tupo kwenye rebuilding phase, hatuwezi kukubali kupoteza mechi zote dhidi ya top teams, our real test of maturity comes against the top teams.Today Arsenal anahitaji positive results no matter what kwanza tupo home Emirates na first game tulifungwa 5 kwa 0 ,tumeshacheza na Big Six tumewin one game na kulose 4 matokeo mabaya sana hayo na GD yetu imeyumba sana sababu ya kulose kwa hao wakubwa we need even a draw kama sio win la sivyo tutakuwa hatuna progress yoyote zaidi ya kudanganyana humu ndani ,tukicheza na mid teams tunashinda but big giants tunageuka kuwa panya kwa paka Manchester City game imekuja muda muafaka tena New year 2022 let's go Arsenal Dunia itatucheka tukifungwa tena goli nyingi home Emirates COYG!
Tukifungwa tutakuwa hatuna kisingizio zaidi ya timu kuwa haisomeki we know Manchester City ni tough team in the worldbut Arsenal also is one of the biggest team in the world kuwa kila akikutana na giants wenzake hapati matokeo itakuwa haina maana ya Arsenal kujiita Big giant
Trusting an inexperienced tactician sio kazi rahisi, hasa kwetu mashabiki. He's been in good run but due to his inexperience lolote linaweza kubadilika, unaweza shangaa City akatupiga na kuanza kupoteza three-four games consecutively. That's the reward we get when hiring an inexperienced coach.Mashabiki tuna visa sana kutoka kumsema Arteta hafai mpaka leo kusema kumkosa Arteta kwenye benchi leo 'it is a huge blow'
I love that hatimaye mashabiki wametrust the process na kumuamini Arteta.
City kushinda ni matokeo yanayotarajiwa.Trusting an inexperienced tactician sio kazi rahisi, hasa kwetu mashabiki. He's been in good run but due to his inexperience lolote linaweza kubadilika, unaweza shangaa City akatupiga na kuanza kupoteza three-four games consecutively. That's the reward we get when hiring an inexperienced coach.
Arsenal making it a game of transition is key for us.Bernardo Silva as a false 9, lakini ni typical attacking midfielder, anadrop paka kwenye build up phase kucreate overload.
With B.silva dropping deep, City wanakuwa na an extra man kwenye build up (Numerical Superiority) + Ikay Gundogan a complete player can shine in every facets of play, from the build up to the final third, Arsenal have Compact press but City with Silva & Gundogan must beat Arsenal's 442 compact press.
B. Silva a press resistant midfielder, either Gabriel / White kumtrack still City can destroy us thru transition.
Ni kwa namna gani we can keep the ball away from City?, Swali ambalo hata Mikel Arteta hawezi kukujibu.
FACT bro kupoteza game zote vs big giants tena kwa Big club kama Arsenal inakuwa haina afya kwa timu yetu kimpiraNakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa, though tupo kwenye rebuilding phase, hatuwezi kukubali kupoteza mechi zote dhidi ya top teams, our real test of maturity comes against the top teams.
Binafsi naona we're moving in the right direction but now it has to translate into positive results against the giants especially now that we have a home advantage.
Kuna wakati natamani MUSTACHI angekuwa na vision na matamanio yetu. Ila yeye as long as mwisho wa mwaka gawio lake liko salama yanayojili kiwanjani na hasa kama team haishuki daraja bado ana furaha na uqekezaji wake.FACT bro kupoteza game zote vs big giants tena kwa Big club kama Arsenal inakuwa haina afya kwa timu yetu kimpira