Ukiona unaambiwa unatumia ID tofauti hapo mtoa hoja anakuwa amefikia Mwisho wa upeo wake wa kutafakari.Narudia wewe ni idiot haya niambie nimeadhirika nini sasa?kuwa Arsenal this season vs top big teams kashinda mechi 1?kafungwa na Chelsea Manchester City Manchester United Liverpool?au nimeadhirika nini kusema kuwa vs top 3 tumefungwa 11 goals na Arsenal hajascore ?wapi nimeadhirika bro?ok I know right now your answer will be I am using 2 different IDs
Ha haaaaaaaa hapo cha muimu ni hesabu tu bossitakuwa Maajabu ya dunia ikitokea hvyo anyway tusubiri tuone
tatizo lake hana maarifaPepe ni Mkali sana tatizo hajiamini na kupata nafasi ya kuaminiwa haipo
Ubishani ni moja ya njia ya kujifunza mkuu kwani utakupa fursa ya kujifunza kwa kufuatilia kile ambacho anakisema mwenzako ambacho wewe hukioni au hujakiona either kwa kutokujua or kwa kutokuwa makini nacho.Umeandika kama vile tunasutana Mkuu which is wrong, nimesema chini hapo kuwa me nimetoa mawazo yangu ila naheshimu mawazo yako pia, Sijarudia andiko lako Mkuu, me nimejikita kwenye kuelezea mapungufu ambayo kwa upande wangu nayaona kwa Xhaka, na nikasema kwanini pamoja na hayo mapungufu bado yupo Arsenal hadi leo hii
we kusema kwamba eti Arsenal ni team kubwa kwahiyo haishindwi kureplace mchezaji endapo uwezo ni mdogo hapo unafeli mkuu labda kama huijui Arsenal vizuri na namna inavyoendeshwa na mabosi wake
Kama unashangaa kwa nini eti Xhaka hakuwa replaced kama hakuwa mchezaji mzuri, vipi umewahi kujiuliza ilikuaje pia kwa hawa wachezaji Gibbs, chambers, Walcott,iwobi,mertesacker,Carl Jenkinson, Hector,Nacho,Welbeck ilishindikana kuwa replaced kwa muda mrefu sana vipi nawao walikuwa wachezaji bora?
Xhaka hajawa replaced kutokana na demand ya Team haimfanyi Xhaka aonekane tatizo, Arsenal kwa miaka kibao imekuwa ikicheza kwa lengo la qualification ya UEFA champions league, kwa mahitaji hayo huwezi kuona tatizo la Xhaka mkuu, ila kama Team ina demand more kama kombe la ligi kuu haiwezi kuendelea kuwa na Xhaka kama Kiungo tegemezi
Na sababu ingine kubwa kwa nini Xhaka aliendelea kuwa sehemu ya team ni kwa sababu jamaa alinunuliwa kipindi ambacho mzee Wenger anajaribu kutengeneza team yenye ushindani kumzunguka Xhaka na ndomana Wenger alitumia pesa nyingi kumnunua hadi kuingia kwenye record ya most expensive signing kwa Arsenal
Me naweza kuwa niliandika andiko refu kama ulivosema ila lilikuwa na facts kuhusu uwezo wa Xhaka na sijaona sehemu ambayo we uliongea kuhusu ubora wa Xhaka ispokuwa ulijikita kwenye kumsifia Xhaka Kutokana na uwepo wake kwenye team chini ya makocha 6
Mind you brother, sibishani na mtu, nilitoa maoni kama shabiki wa Arsenal na mpenzi wa mpira kwahiyo siko hapa kumkosoa mtu, nafunga huu mjadala Mkuu
Mkuu hebu kuwa honest, kwenye hii post yako kuna ata sehemu Moja umetaja au kuongelea strength za Xhaka?Jamani tusisahau!
Granit Xhaka ni only player katika ukanda wa Milky Way Galaxy kucheza chini ya makocha 6 katika vilabu tofauti. Katika makocha sita amekuwa first team player in day out na amekuwa kapteini!
Kocha wa kwanza utasema hajui football, wa pili hana tactics na wa tatu hakuwa na option lakini wanne, watano hadi wa sita?! Xhaka mikataba yake imekuwa 5 years hadi Arsenal chini ya Unai Emery kutoa six years! Hata kama hatuelewi football sio kwa six coaches jamani.
Happy Holidays!
Mimi hua nahisi computer arsenal, Milango mitatu na ARV ni mtu mmoja maana akili zao zimefanana kabisaHuyo jamaa alisumbuaga sana humu kwa jina la milangomitatu ana multiple id huyo, kichwa chake anakijua mwenyewe huyo na ARV hawana tofauti kabisaaaaaaaaa
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Ufinyu wa kuwaza huu.Mimi hua nahisi computer arsenal, Milango mitatu na ARV ni mtu mmoja maana akili zao zimefanana kabisa
Uwezo wake wa IQ ni mdogo that's why anakuja na defence ya namna hiyoUkiona unaambiwa unatumia ID tofauti hapo mtoa hoja anakuwa amefikia Mwisho wa upeo wake wa kutafakari.
You have very low IQ bro means umeshindwa kuona hao three people wapo tofauti?I am Arsenal fan tena kindakindaki but siwezi shangilia ujinga kuwa tumewin against Norwich Leeds Southampton Newcastle those teams wana miaka takribani 10 kama wameifunga Arsenal basi ni only once au twice for those 10 years Arsenal anastahili points dhidi ya hao vibondeMimi hua nahisi computer arsenal, Milango mitatu na ARV ni mtu mmoja maana akili zao zimefanana kabisa
Hawa maboya nishaacha kujibizana nao.You have very low IQ bro means umeshindwa kuona hao three people wapo tofauti?I am Arsenal fan tena kindakindaki but siwezi shangilia ujinga kuwa tumewin against Norwich Leeds Southampton Newcastle those teams wana miaka takribani 10 kama wameifunga Arsenal basi ni only once au twice for those 10 years
Kilio changu na fans wengi duniani ni why Arsenal akikutana na big teams for more than 10 years kupata positive results ni tatizo?au nijibu unahisi tatizo ni nini?tulicheza mechi takribani 3 mfululizo tukashinda tukaenda Anfield tukapigwa 4 kwa 0 ,tukashinda 3 Matches consecutive tukaenda Old Trafford tukapigwa 3,now tumeshinda 4 matches consecutive tunakutana na Manchester City what will happen?tukilose tutasema tatizo ni hatuna experience?kuwa tuna young squad?coach hafai ?ukinipa jibu sahihi ntaamini mimi nina low IQ na sio wewe
Hawa maboya nishaacha kujibizana nao.
Wayawazayo na kusema nayaangalia na kuwapuyza. Maana wakizidiwa hoja ya kimpira wanakimbilia shambulio la ID Mbili, why mtu uwe na ID mbili ili ufaidoke nini!?
Kuna pesa hapa wanagawa hadu mtu ujiandikishe na kumipersonate mtu ili muonekane wawili badala ya Mmoja!?
Uwazaji wa kijuha kabisa huu.
Kama mpira umewashinda kakaeeni kwenye siasa mlikozoea kutumia ID tofauti tofauti kujificha msitambulike
Wewe kwa nini usikubaliane na weakness za mwenzio ukaenda kujifunza?Ubishani ni moja ya njia ya kujifunza mkuu kwani utakupa fursa ya kujifunza kwa kufuatilia kile ambacho anakisema mwenzako ambacho wewe hukioni au hujakiona either kwa kutokujua or kwa kutokuwa makini nacho.
Mfano hapa unaongelea weakness za Xhaka na wengine tuanongelea Strength zake so kwa hoja zitakazotolewa zitakufanya uanze kumfuatilia kwenye hizo zinazosemwa kuwa ni strength compared to weakness ambazo unaziona wewe. Kwahiyo usiseme umeacha au hutaki kubishana maana utakuwa hutaki kujifunza ila tu kubishana kwenyewe kuwe kwa hoja
Hahahahahahhaakuna wengine watasema mimi na wewe ni ID moja hehehehehehe wote tunaipenda Arsenal for life sema mawazo hayawezi kufanana kuna ambao wataona Arsenal kushinda vs Norwich Leeds Southampton Newcastle and then kufungwa na Big teams kwao ni ushindi na sisi ambao tunaona kumfunga Norwich Leeds Southampton Newcastle ni normal thing but we need to get more points from those giants because Arsenal is the biggest team in the world kama tunashindwa kupata points huko coach kazi yake ni nini?mimi ntaendelea kuwapa facts mpaka tuelewane wale wote wanaona wao wapomimi nipo wrong Arsenal Forever
Uliniita Mlevi na Mjinga but angalia unavyopopolewa na wenzio humuUmeandika kama vile tunasutana Mkuu which is wrong, nimesema chini hapo kuwa me nimetoa mawazo yangu ila naheshimu mawazo yako pia, Sijarudia andiko lako Mkuu, me nimejikita kwenye kuelezea mapungufu ambayo kwa upande wangu nayaona kwa Xhaka, na nikasema kwanini pamoja na hayo mapungufu bado yupo Arsenal hadi leo hii
we kusema kwamba eti Arsenal ni team kubwa kwahiyo haishindwi kureplace mchezaji endapo uwezo ni mdogo hapo unafeli mkuu labda kama huijui Arsenal vizuri na namna inavyoendeshwa na mabosi wake
Kama unashangaa kwa nini eti Xhaka hakuwa replaced kama hakuwa mchezaji mzuri, vipi umewahi kujiuliza ilikuaje pia kwa hawa wachezaji Gibbs, chambers, Walcott,iwobi,mertesacker,Carl Jenkinson, Hector,Nacho,Welbeck ilishindikana kuwa replaced kwa muda mrefu sana vipi nawao walikuwa wachezaji bora?
Xhaka hajawa replaced kutokana na demand ya Team haimfanyi Xhaka aonekane tatizo, Arsenal kwa miaka kibao imekuwa ikicheza kwa lengo la qualification ya UEFA champions league, kwa mahitaji hayo huwezi kuona tatizo la Xhaka mkuu, ila kama Team ina demand more kama kombe la ligi kuu haiwezi kuendelea kuwa na Xhaka kama Kiungo tegemezi
Na sababu ingine kubwa kwa nini Xhaka aliendelea kuwa sehemu ya team ni kwa sababu jamaa alinunuliwa kipindi ambacho mzee Wenger anajaribu kutengeneza team yenye ushindani kumzunguka Xhaka na ndomana Wenger alitumia pesa nyingi kumnunua hadi kuingia kwenye record ya most expensive signing kwa Arsenal
Me naweza kuwa niliandika andiko refu kama ulivosema ila lilikuwa na facts kuhusu uwezo wa Xhaka na sijaona sehemu ambayo we uliongea kuhusu ubora wa Xhaka ispokuwa ulijikita kwenye kumsifia Xhaka Kutokana na uwepo wake kwenye team chini ya makocha 6
Mind you brother, sibishani na mtu, nilitoa maoni kama shabiki wa Arsenal na mpenzi wa mpira kwahiyo siko hapa kumkosoa mtu, nafunga huu mjadala Mkuu
Very Very FACT broHahahahahahhaa
Idiots
Wacha waseme hakuna anayewazuia.
Wamefilisika kihoja wameamua washambukie ID, na nadhani wangeweza wangefikia hata kuangusha Matusi kwa wanaowaona ni watesi wa hoja zao nyepesi wasizoweza kuzisimamia
Mkuu nitake radhi, siwezi kumuita mtu Mjinga au Mlevi hivo nakataa kuwa sijakuita hayo majina, me napenda mtu abishane kwa hoja na sio kwa mazoea kama baadhi yenu mnavofanya humuUliniita Mlevi na Mjinga but angalia unavyopopolewa na wenzio humuwatakusuta mpaka ujute kuleta topic ya Xhaka nakupa education ya hili jukwaa wengi wao ukiwaambia vitu wanavyovichukia basi jiandae kupopolewa hata kama kuna ukweli but for me sasa nakufundisha huwa ninaangalia facts na ujinga kwa ulichoandika 70% nakubaliana na wewe na sababu Arsenal akimfunga Norwich Leeds Southampton Newcastle kwao ni ushindi na ukitaka kuona Xhaka sio mzuri kiivyo let's wait for Saturday game otherwise apewe penzi tamu na mke wake game ya Manchester City alikula umeme wa kijinga kabisa na big games nyingi Xhaka kupata Red card ni kawaida
Kifupibwatu wanatakiwa kuelewa Xhaka pamoja na ubora wake anaouonesha kwa vipi fulani fulani, his madness zinaufunuka ubora huo na kumfanya awe liability kwa team. Kushindwa kumreplace ni tatizo za La Uongozi na namna wanavyolipa Support beanch la Ufundi, na kukosa upeo wa mpira kwa mmiliki kumeifanya team iwe na walimu wasiokidhi viwango ya kuifit team. Unai hakuwa profile ya Team, Arteta ni wa kuanzia Championship na sio EPL achilia mbali kiwa Arsenal.Uliniita Mlevi na Mjinga but angalia unavyopopolewa na wenzio humuwatakusuta mpaka ujute kuleta topic ya Xhaka nakupa education ya hili jukwaa wengi wao ukiwaambia vitu wanavyovichukia basi jiandae kupopolewa hata kama kuna ukweli but for me sasa nakufundisha huwa ninaangalia facts na ujinga kwa ulichoandika 70% nakubaliana na wewe na sababu Arsenal akimfunga Norwich Leeds Southampton Newcastle kwao ni ushindi na ukitaka kuona Xhaka sio mzuri kiivyo let's wait for Saturday game otherwise apewe penzi tamu na mke wake game ya Manchester City alikula umeme wa kijinga kabisa na big games nyingi Xhaka kupata Red card ni kawaida
Hii unaikumbuka ?uliniambia may be nilikuwa nimelewa ?ukaniita nina kasumba ya ubishi na mgumu kuelewa so nachokwambia hata wewe unakasumba ya ubishi na kuelewa why usiwakubalie kuwa Xhaka ana strength kibao na weakness kidogo?why usikubaliane nao ili uachane na ubishi?Mkuu we una kasumba ya ubishi tu na mgumu sana kuelewa, jamaa anajitahidi sana kukuelewesha ila tatizo lako ni kwamba umejiandaa tu kubisha ata afanye nini, nimewafatilia muda mrefu kwenye mada yenu ila nimegundua kuwa huna hoja na huna hoja kwa sababu umeamua kubisha tu
Amesema tangu mwaka 2018 Man u alikuwa hajaifunga Arsenal hadi walipoifunga msimu huu, Cha ajabu ubaibuka na eti December 2 Old trafford Man aliifunga Arsenal, ulikuwa umelewa? Ulikuwa umelala? Sasa hadi hapo kati yenu nani alikuwa kalewa? Hiyo mechi ya Dec 2 ilikuwa ni msimu upi? Ipi ni tofauti na alivosema msimu huu ndio Man u kamfunga Arsenal tangu 2018
unataka Arsenal aifunge au atoe draw na Man City ndio uprove kwamba team imeimalika seriously? Kwa aina ya kikosi Cha city na kocha wao ulinganishe na kikosi cha Arsenal na Kocha wao uje kwenye quality, consistency, chemistry na age ya wachezaji wa hizi team mbili we unaona ni kipimo sawa?
Westham kamfunga Liverpool, Totenham na Chelsea je kwahiyo westham ndio wameprove kwako ni team bora? Leo iko wapi kwenye EPL table? Je Arsenal alieifunga westham yeye ni bora kuliko Liverpool na Chelsea waliofungwa na westham? Amepata faida gani kumfunga Liverpool na yeye kufungwa na team kama Southmptom,Wolves na Brentford
Mpira hauko hivo mzee acha ubishi wa kitoto na ujifunze kujenga hoja, Arsenal anaweza kumfunga Man City either kwa mbinu au bahati ila bado ukweli utabaki pale pale kuwa bado ni team dhaifu dhidi ya giants kwa sasa, ila kufika huko inabidi uanze kuzipiga kwanza hizi mid teams na ndio anachokifanya Arsenal kwa sasa
Gentleman opinion.Mkuu nitake radhi, siwezi kumuita mtu Mjinga au Mlevi hivo nakataa kuwa sijakuita hayo majina, me napenda mtu abishane kwa hoja na sio kwa mazoea kama baadhi yenu mnavofanya humu
Na Kupishana mawazo katika mambo ya mpira ni kitu cha kawaida maana Kila mtu ana mtazamo wake ila kamwe siwezi kuvuka mipaka na kuita wenzangu majina ya ajabu ajabu