Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

MPIRA SIO BLAH-BLAH-BLAH KAMA ULIVYOANDIKA HAPA. MPIRA NI UWEKEZAJI. TUMIA PESA KUBWA CHUKUA WACHEZAJI WENYE KIWANGO.. ACHANA NA HAO WATOTO, ROWE,TIERNEY,SAKA, ETI NDIO MASTAA WENU. SERIOUSLY!!!!!
We chapati wachezaji wakubwa kuja timu isiyoshiriki michuano ya ulaya inakua ngumu sana Newcastle ina pesa lakini wachezaji wakubwa utawasiki miaka minne mbele.
 
Mashabiki wa Arsenal mpo frustrated sana

Nimesoma hii post yako nikaishia pale uliposema United haina pulling power Kwa wachezaji wakubwa/bora

Kama kusema hivyo inaweza kuwasadia kupunguza machungu yenu its okay

Kwamba United imemsajili Pellestri sababu imeshindwa kusajili nyota ulimwenguni . Mbona United wamefanya sajili za namna hii tangu kipindi cha SAF, CR7 alisajiliwa akiwa potential lakini sio bora, Nani, Rafaeli na pacha wake, Bebe pia alisajiliwa kwa sera hiyo hiyo na wengine wengi. Pelestri alisajiliwa baada ya Folan kuwastua United kwamba kuna mchezaji potential Uruguay, na United ikamsajili ... Pia imemsajili Diallo kama potential. Kiufupi top teams duniani zote zinafanya hivyo, angalia akina Madrid kwa Valverde, Bayern kwa left back wao n.k.

Kuhusu Thiago, Man Utd hawakumtaka ... Kwa mwaka Man Utd huwa inahusishwa na wachezaji wapya zaidi ya 500 kwa sababu za kibiashara,je wote hao huwa inawataka? Unajaribu kujipa matumaini feki kwamba kwakuwa Man United inakataliwa na wachezaji basi its okay na Arsenal kukataliwa , United na Arsenal hawapo kwenye same boat mkuu.

Kuhusu Regulion, Man Utd walikataa kumsajili sababu ya kipengele cha kipuuzi ambacho Real Madrid walikiweka. Kwamba wapo tayari kuiuzia United kwa around £35 milion lakini, wakimtaka baada ya miaka 2 (supposedly Marcelo akichoka) United italazimika kuwauzia kwa gharama isiyozidi £40 milioni. Huo ni kama mkopo, tena mkopo ghali ... Hakuna timu kubwa duniani itakubali hilo sharti, kwamba wam develope mchezaji halafu Madrid waje kumchukua akiwa ameiva. Na ndipo United ikamsajili Alex Telez.

Kwa upande wa Haaland kulikuwa na masharti ya kipuuzi hivyo hivyo. Kwanza Raiola alitaka signing on fee kubwa, halafu wanalazimisha United ikubali kumuuza ndani ya 2 years endapo kuna timu itamuhitaji kwa £60 milion. Huo ujinga ni timu ndogo kama Dortimund ndio zinaweza kuukubali.

Unasema Man Utd haina pulling power Kwa wachezaji nyota, CR7 amekuja msimu huu yeye sio bora? Sancho, Varane vipi? Cavani, Bruno wote hao ni wachezaji wa kidunia. Hapo nyuma United imesajili akina Lukaku, Sanchez na wengine wengi.

Tafuta namna nzuri ya kujenga hoja na si kudanganya watu mkuu
Jamaa aliandika upupu pale mpaka nikashtuka. Umefanya jambo la busara kumfungua uelewa.
 
Katika uzi wenu wa United kuna jamaa alikua anaupload video za kuchambua Thiago atacheza nafasi gani. Hii ilikua inafanyika mitandaoni kote.
Kudai kwamba United haikumtak Thiago huu sasa ni uongo wako wewe.

Screenshot_20211207-074705_Chrome.jpg

Hamna kitu nilichoandika cha uongo hapo. Hua sina kawaida hiyo. United ilitaka wachezaji na wachezaji waligoma, same kwa Bayern same kwa Barca.

Kusema kwamb mbona mlishawahi kumsajili Lukaku sijui unataka kumaanisha nini. Mmemsajili Sancho na Ronaldo ni kweli kabisa haya sasa tuambiane ukiacha United hawa Sancho na Varane ni klabu gani nyingine ilipeleka ofa? Same kwa Telles, Pellistr, Facundo, Ighalo na Cavani taja klabu zilizochuana na united kusajili hao watu wote.

Wachezaji wanakataa kwend vilabu mbalimbali ni jambo la kawaida hata January ikifika tutasikia tena.
 
Eti Man Utd inakataliwa na wachezaji alafu hapo hapo ina mchezaji ana ballon dor 5, msifosi tufanane jombaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo hakua na sababu ya kuondoka Juve kilichomtoa ni kutaka kurudi kwenye headlines baada ya Messi kwenda PSG.

Nimesahau nani alisema hiyo ishu.

Ballon d'or? Yea anazo so what? Same fans mnasema ujio wa Ronaldo umemgharimu Ole kazi as hakua kwenye mipango yake na blah blah kibao. Hata aliyesababisha aje hapo ni Alex na siyo Ole wala bodi simply kwakua Ole na bodi kwa ujumla wake haina hiyo pulling power.

Juzi nilipost maneno ya Zlatan juu ya kusema united ni small team ukadai ni anaropok lakini kwa usajili wa ST Ighalo, Pellistr na Facundo unampingaje Zlatan?
 
Katika uzi wenu wa United kuna jamaa alikua anaupload video za kuchambua Thiago atacheza nafasi gani. Hii ilikua inafanyika mitandaoni kote.
Kudai kwamba United haikumtak Thiago huu sasa ni uongo wako wewe.

View attachment 2035444

Hamna kitu nilichoandika cha uongo hapo. Hua sina kawaida hiyo. United ilitaka wachezaji na wachezaji waligoma, same kwa Bayern same kwa Barca.

Kusema kwamb mbona mlishawahi kumsajili Lukaku sijui unataka kumaanisha nini. Mmemsajili Sancho na Ronaldo ni kweli kabisa haya sasa tuambiane ukiacha United hawa Sancho na Varane ni klabu gani nyingine ilipeleka ofa? Same kwa Telles, Pellistr, Facundo, Ighalo na Cavani taja klabu zilizochuana na united kusajili hao watu wote.

Wachezaji wanakataa kwend vilabu mbalimbali ni jambo la kawaida hata January ikifika tutasikia tena.
Naweza kukupa screenshot 100 zinazosema CR7 anakwenda PSG, ninaweza kukupa screenshot 150 zinazosema Messi anakwenda Man City, ninaweza kukupa screenshots 50 zilizosema Alcantara anarudi Barca. Lakini hiyo haimaanishi kwamba Messi hakuvutiwa kwenda City, au CR7 kwenda PSG au Alcantara kwenda Barcelona. Pia naweza kukupa screenshots 500 zinazosema Sancho to Liverpool au to Chelsea lakini most (sio zote) of the transfer rumours are just rumours

Huwezi kusema timu haina pulling power wakati imesajili 5 times ballon d'Or winner na 6th best player in the world (see 2021 Baloon d'Or winner list). Msimu wa Sancho 2020/2021 ambao haukuwa mzuri lakini alikuwa ana goli 16 na assists 20 (nitajie Odegaard alikuwa na ngapi au mchezaji yoyote wa Arsenal mwenye nusu ya hizo, HAKUNA). Varane a World Cup Winner, mshindi wa Champions League mara 4/5, mshindi wa Laliga mara kadhaa wote wapo United kwa sasa

Hao wachezaji unawezaje kuwafananisha na akina Tabares sijui, Tomiyasu , White, Lokonga na akina Okonwo .

Ulisema hao wachezaji walikuwa hawatakiwi na timu nyingine, ina maana hukuwahi kusikia Chelsea na Liverpool wanamtaka Sancho, au PSG wanamtaka Ronaldo au Madrid wanataka Varane abaki? Hivi kigezo cha kusikia mchezaji anatakiwa na timu fulani ni uthibitisho kwamba yeye ni bora? Lingard anatakiwa na Madrid na Barcelona au hujasikia?

Ndio maana nakwambia kile ulichoongea hakina ukweli wowote. United bado wana pulling power the same way na miaka ya nyuma.

Arsenal hata wakiwa wanajitahidi wamekuwa na PUSHING power, yaani wachezaji wazuri kuwakimbia na kwenda timu kubwa ndio maana Man Utd imewahi kuwabeba wachezaji tegemeo wa Arsenal akiwemo Van Persie na Sanchez. Barcelona wameshabeba Henry, Fabrigas na Alexander HLEB.
 
Ronaldo hakua na sababu ya kuondoka Juve kilichomtoa ni kutaka kurudi kwenye headlines baada ya Messi kwenda PSG.

Nimesahau nani alisema hiyo ishu.

Ballon d'or? Yea anazo so what? Same fans mnasema ujio wa Ronaldo umemgharimu Ole kazi as hakua kwenye mipango yake na blah blah kibao. Hata aliyesababisha aje hapo ni Alex na siyo Ole wala bodi simply kwakua Ole na bodi kwa ujumla wake haina hiyo pulling power.

Juzi nilipost maneno ya Zlatan juu ya kusema united ni small team ukadai ni anaropok lakini kwa usajili wa ST Ighalo, Pellistr na Facundo unampingaje Zlatan?
Unaongelea klabu haina pulling power, wakati huo huo unamtaja mjumbe wa bodi Ferguson ndio alifanikisha kumleta Ronaldo , unakifahamu unachokiongea ndugu yangu?

Unadhani kwanini Arsenal haina wajumbe influencial wa kumshawishi CR7 aende Arsenal

Halafu eti unasema Ronaldo alitaka headlines, are serious brother? Mtu ana followers zaidi ya milioni 300 instagram atake headline kupitia transfer?

Hata ingekuwa hiyo ndio sababu (HEADLINE) unadhani Arsenal au klabu zenye hadhi ya Araenal zilikuwa zina chance hata asilimia 0000.1 ya kumsajili?
 
Zlatan anajaribu ku promote kitabu chake, kwa hiyo hiyo relax

Unadhani Zlatan angesema Arsenal ni klabu ndogo ingevuta attention kama alivyoiongelea United ... Unajua kwanini? KWA SABABU ni kweli Arsenal ni klabu ndogo
 
Eti Man Utd inakataliwa na wachezaji alafu hapo hapo ina mchezaji ana ballon dor 5, msifosi tufanane jombaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wehu hawa, tena wakome kuifananisha Man U na hivyo vitimu vyao vya kijinga kijinga.
Bila msaada wa VAR walikua wanalala 4-1 kenge hawa.
Tuendelee kukumbushana msimamo wa ligi.
Nnaimani katikati ya January tutakua tayari tushatinga ndani ya top 4.
Screenshot_20211207-084738.jpg
 
Naweza kukupa screenshot 100 zinazosema CR7 anakwenda PSG, ninaweza kukupa screenshot 150 zinazosema Messi anakwenda Man City, ninaweza kukupa screenshots 50 zilizosema Alcantara anarudi Barca. Lakini hiyo haimaanishi kwamba Messi hakuvutiwa kwenda City, au CR7 kwenda PSG au Alcantara kwenda Barcelona. Pia naweza kukupa screenshots 500 zinazosema Sancho to Liverpool au to Chelsea lakini most (sio zote) of the transfer rumours are just rumours

Huwezi kusema timu haina pulling power wakati imesajili 5 times ballon d'Or winner na 6th best player in the world (see 2021 Baloon d'Or winner list). Msimu wa Sancho 2020/2021 ambao haukuwa mzuri lakini alikuwa ana goli 16 na assists 20 (nitajie Odegaard alikuwa na ngapi au mchezaji yoyote wa Arsenal mwenye nusu ya hizo, HAKUNA). Varane a World Cup Winner, mshindi wa Champions League mara 4/5, mshindi wa Laliga mara kadhaa wote wapo United kwa sasa

Hao wachezaji unawezaje kuwafananisha na akina Tabares sijui, Tomiyasu , White, Lokonga na akina Okonwo .

Ulisema hao wachezaji walikuwa hawatakiwi na timu nyingine, ina maana hukuwahi kusikia Chelsea na Liverpool wanamtaka Sancho, au PSG wanamtaka Ronaldo au Madrid wanataka Varane abaki? Hivi kigezo cha kusikia mchezaji anatakiwa na timu fulani ni uthibitisho kwamba yeye ni bora? Lingard anatakiwa na Madrid na Barcelona au hujasikia?

Ndio maana nakwambia kile ulichoongea hakina ukweli wowote. United bado wana pulling power the same way na miaka ya nyuma.

Arsenal hata wakiwa wanajitahidi wamekuwa na PUSHING power, yaani wachezaji wazuri kuwakimbia na kwenda timu kubwa ndio maana Man Utd imewahi kuwabeba wachezaji tegemeo wa Arsenal akiwemo Van Persie na Sanchez. Barcelona wameshabeba Henry, Fabrigas na Alexander HLEB.
Achana na screenshots za udaku.

Weka tu screenshot kutoka mtu reliable juu ya transfers akisema klabu fulani (ambayo siyo United) iliongea na wakala wa Ighalo au Sancho au Ronaldo au Pellistr au Facundo au Telles halafu United ikaipiku hiyo klabu.

Hata kama unazo 500 kama unavyodai weka hapa
 
Unaongelea klabu haina pulling power, wakati huo huo unamtaja mjumbe wa bodi Ferguson ndio alifanikisha kumleta Ronaldo , unakifahamu unachokiongea ndugu yangu?

Unadhani kwanini Arsenal haina wajumbe influencial wa kumshawishi CR7 aende Arsenal

Halafu eti unasema Ronaldo alitaka headlines, are serious brother? Mtu ana followers zaidi ya milioni 300 instagram atake headline kupitia transfer?

Hata ingekuwa hiyo ndio sababu (HEADLINE) unadhani Arsenal au klabu zenye hadhi ya Araenal zilikuwa zina chance hata asilimia 0000.1 ya kumsajili?
Aliyetamka hayo maneno siyo mimi. Followers 300M au wangapi but kilichosemwa kilisemwa.

So hii timu Alex akifa itakua haisajili tena kwakua so much power is vested kwa Alex kiasi akawa analazimisha Ole abaki?
 
Zlatan anajaribu ku promote kitabu chake, kwa hiyo hiyo relax

Unadhani Zlatan angesema Arsenal ni klabu ndogo ingevuta attention kama alivyoiongelea United ... Unajua kwanini? KWA SABABU ni kweli Arsenal ni klabu ndogo
Zlatan pia alisema Chelsea ni klabu ndogo haiwezi kumsajili. Wote tukamuamini.

Na sasa hivi tumemuamini vile vile.

Screenshot_2021-12-04-20-14-50-89.jpg
 
Ronaldo hakua na sababu ya kuondoka Juve kilichomtoa ni kutaka kurudi kwenye headlines baada ya Messi kwenda PSG.

Nimesahau nani alisema hiyo ishu.

Ballon d'or? Yea anazo so what? Same fans mnasema ujio wa Ronaldo umemgharimu Ole kazi as hakua kwenye mipango yake na blah blah kibao. Hata aliyesababisha aje hapo ni Alex na siyo Ole wala bodi simply kwakua Ole na bodi kwa ujumla wake haina hiyo pulling power.

Juzi nilipost maneno ya Zlatan juu ya kusema united ni small team ukadai ni anaropok lakini kwa usajili wa ST Ighalo, Pellistr na Facundo unampingaje Zlatan?
Kuhusu usajili wa mtu Ighalo, umeona kwa United inaonekana kama big deal lakini kwa timu kama Arsenal ni kitu cha kawaida

Ndio maana wapo akina Tomiyasu, Okonwo, Kolasnic, yule beki Mbrazil na wala hamnung'uniki

Nikukumbushe tu, kuwa hizi timu kuna wakati zinafanya sajili kama hizo (ila ni mara chache cha sana). Mfano Barca wamewahi kumsajili Boateng, Braithwaite n.k. Bayern wamesajili mtu kama Choupo Moteng mchezaji wa zamani wa Stoke City. Mifano ipo mingi.

Kuhusu akina Pelestri nilishakufafanulia. Usipotaka kuelewa that's not my problem

Ragnick juzi amekwambia when a club like Manchester United come calling, no one can reject such opportunity
 
Nyie wabwia ugoro bado mmelala? Mnalala kwa raha gani mliyonayo? Yani mliamini kabisa hivyo vitoto vyenu na akili ndogo za kakocha kenu mngeifunga Everton? Arsenal haiwezi kuingia top 4 kwa miaka 50 ijayo km mtaendelea na hawa wahuni wanaokula pesa zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Club imejaa utoto utoto mwingi halafu maskini ya Mungu hawana hata mpango wa kubadilika.
Sema mashabiki wao wana roho ya paka hawachoki kuvumilia upumbavu.
 
Aliyetamka hayo maneno siyo mimi. Followers 300M au wangapi but kilichosemwa kilisemwa.

So hii timu Alex akifa itakua haisajili tena kwakua so much power is vested kwa Alex kiasi akawa analazimisha Ole abaki?
So it's okay kwa wewe kufuata sources za udaku ... Eti aliyetamka

By the way, mimi nanunua screenshort za Arsenal akiwa juu ya Man Utd kwenye table ya ligi

Nina ka 50K hapa
 
Back
Top Bottom