Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu inanunua maST wawili kwa zaidi ya 80M kwa kila mmoja na inawaweka benchi.

Mmoja wa ST alifukuzwa kwa kuonekana flop. Kisha akarudishwa kwa price tag ya hivyo.

Classic management
 
▪️ Six-straight wins in all competitions
▪️ 19 goals scored, three conceded in that span
▪️ Back-to-back games scoring five goals
▪️ Six points clear in fourth place

Arsenal we are loving life right now 🥳
 
Emile amekua akiscore kila akitokea benchi hii inasababisha tutamani aanze but the system is working and we are winning sidhani kama tuna haja ya kudisturb mfumo kwa sasa.
Mkuu Kuna maswali nimekuuliza kule kwenye uzi wa wanyama!

Kingine kama hutojali naomba ufungue uzi kuhusu wanyama udescribe wanyama wote, ntashukuru sana

Castr
 
##coyg..like no biashara

FB_IMG_1640545439248.jpg
 
Mkuu Kuna maswali nimekuuliza kule kwenye uzi wa wanyama!

Kingine kama hutojali naomba ufungue uzi kuhusu wanyama udescribe wanyama wote, ntashukuru sana

Castr
Kila nilichoandika pale ni random memories ili niandike kitu kizuri nitahitaji muda kiasi chake so for now let me interest you with this thread

 
2 conceded goals.

Arsenal ipo ya moto..

Wanaweza shinda mechi 16 out of 19 hawa wahuni wa london
Six-straight wins in all competitions
19 goals scored, three conceded in that span
Back-to-back games scoring five goals
Six points clear in fourth place

Arsenal we are loving life right now
 
Breaking news
Match kati ya Arsenal na Wolverhampton iliyokuwa ichezwe tarehe 28/12 /2021 imeahireshwa kutokana na wachezaji wengi wa Wolverhampton kuwa na maambukizi ya virusi vya corona
 
Back
Top Bottom