Kuna jambo linamkumba?Naona Man city wanaruhusu goli nne zirudi, tuwe makini..mpira is something else aisee
kakusikia...Toa Partey au Xhaka. Ingiza Pepe au Emile
Emile ndiye scorer bora kwa timu yetu.
Ana magoli mengi katika ligi kuliko Lukaku na kuliko Ronaldo.
Na anatokea benchi.
Aiseee kama za wiki iliyopita Kwa sundalendmkonooooo....
😂😂😂😂😂😂😂Watoto Wana njaa ya magolAuba aundiwe tume ya uchunguzi
Tangu auba ale ubao, tumeweka kwenye nyavu goals 19