Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu inanunua maST wawili kwa zaidi ya 80M kwa kila mmoja na inawaweka benchi.

Mmoja wa ST alifukuzwa kwa kuonekana flop. Kisha akarudishwa kwa price tag ya hivyo.

Classic management
tim iyoiyo kila msimu inanyanyua makwapa kwa kubeba makombe makubwa

nb: nyie level zenu ni wakina soton na mid table team zingne ukikaa kujadil tim za top4 unatakiwa ujib swal la mara yako ya mwisho kushrk uefa n lini

Sent using motorola 78
 
Timu inanunua maST wawili kwa zaidi ya 80M kwa kila mmoja na inawaweka benchi.

Mmoja wa ST alifukuzwa kwa kuonekana flop. Kisha akarudishwa kwa price tag ya hivyo.

Classic management
kushinda game ya norwich ushajiona umemaliza kazi adi kuanza kuzifatilia tim kubwa lokonga

Sent using motorola 78
 
Ødegaard anaanza kuwa one of my favourite Arsenal players, I love his energy in finding spaces and ability to play the right pass. Moves nyingi za magoli zinaanzia kwake, ana vitu vingi sana uwanjani lakini the footballing brain is his best attribute, the kid gat the brain.

1640551797324.png

1640551801089.png
 
tim iyoiyo kila msimu inanyanyua makwapa kwa kubeba makombe makubwa

nb: nyie level zenu ni wakina soton na mid table team zingne ukikaa kujadil tim za top4 unatakiwa ujib swal la mara yako ya mwisho kushrk uefa n lini

Sent using motorola 78
Tuwekane sawa.

Hii timu inayonyanyua kombe kila msimu ndiyo hii hii inayofukuza makocha kila msimu si ndiyo?
 
Tuwekane sawa.

Hii timu inayonyanyua kombe kila msimu ndiyo hii hii inayofukuza makocha kila msimu si ndiyo?
nyie msiofukuza mmepata nn wakina unai s walistaafu au sio nyie bado amjapona

Sent using motorola 78
 
The hottest player in premier league at the moment. scoring like a magician.. ESR is on a different level. Congrats boy 👦
 
Most goals scored in the Premier League this season:

◎ Mohamed Salah (15)
◎ Diogo Jota (10)
◎ Jamie Vardy (9)
◉ Emile Smith Rowe (8)
◎ Son Heung-min (8)
◎ Raphinha (8)

ESR keeps bagging from the bench. 👏
 
I don’t know why you do not want to accept the truth. After scoring the first goal, our players relaxed and welcomed attacks from our opponent. That is when I got worried.
What I am saying is football is a 90 minutes game.

And also in EPL every opponent is an opponent.
 
Back
Top Bottom