Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yule mzee aliuliza kuhusu 4-3-3 hiyo hapo leo, Ø / ESR as 8s, Elneny as the 6
 
Rudi nyuma nisome vyema. Hii ndo ID yangu ya kudumu, iwe najadiki siasa au michezo, tena kwa jukwaa langu la team pendwa. Mi sio kinyonga, nitafia kwa hii yram na IF yangu hii hii. Kama unateseka ni juu yako Mazee.

Ila jifunze kukubali kutokukubaliana na hoja hata kama kina mahala zinakuvhoma na kukuumiza
Huyo Will Jr akili hana hata kidogo nshamjua he is not normal he thinks anaijua Arsenal kuliko mtu mwingine he doesn't want to accept the truth at all akiona mtu kama anaisema Arsenal wakati its true Arsenal ya sasa ni dhaifu anakuwa mbishi he is fuc*** stupid kiongozi huyo jamaa atakupotezea muda tu kwenye ubishani
Mawazo yake anayaona 100% ni sahihi wakati he doesn't know anything yeye na Relief Mirzska they know nothing about football mimi namkubali sana Mysterio na Castr those people wanajua what is football (congratulations to you guys) na hata wakiargue unaona anargue kiakili na anajua anachokisema for example hapo umempa nakoz anakimbilia ohhh milango mitatu who is he or she?ohh mara Computer Arsenal yes its me ukiona anaandika hvyo ujue ameshindwa kuargue anataka kukumbia
 
Waanzishe forum yao wajadili mawazo yao ambayo hayatakiwa challanged. But hapa we are all entitled to opinion. Wakiona yanawauma wakipingwa wakae kimya au waende kando humo wakasemezane, ila kupima maturity kwa sababu ya kupingwa huo upumbavu na ujinga wapelekee mademu zao huko.

Wakileta ujinga miba watakula tu na hatuangalii shenzi taipu
 
I know him very well he is so irrogant hapa anaweza akaja akasema computerarsenal na Mkopoka ni one ID mean anajicommentia na kujijibu mwenyewe mtu asiyependa kuwa challenged anakimbilia kublock watu utajua ana akili au ubongo wa type gani unakuwa umeshapata jibu
 
I know him very well he is so irrogant hapa anaweza akaja akasema computerarsenal na Mkopoka ni one ID mean anajicommentia na kujijibu mwenyewe
Akae kimya kama marumbano ya hoja yamemshinda. Mawazo yake ninsahihi kwa watoto wake tu kama anao tena nao wasiwe wamezidi umri wa miaka 7, wakianza kuresaon watamwona mshua boya.
 
Kiasi serious, dawa kwa sasa nikucongeat midfield na sio vinginevyo. Mawazo mapya yana gharama sana kwenye matokeo hasa ikikwama hii mbinu.
Nilimaanisha kuhusu formation.

Timu nyingi zinacheza 4 2 3 1
 
Back
Top Bottom