DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,870
Kante huyu au kuna mwingine?usituchekesheView attachment 2050761wew bila kante ntakupiga 5 ila akiwepo unakula 7
Sent using motorola 78
Kante huyu au kuna mwingine?usituchekesheView attachment 2050761wew bila kante ntakupiga 5 ila akiwepo unakula 7
Sent using motorola 78
Kama coach alitudharau ok ok tutamuonyeshaHiyo game na Sunderland ina ishu vizuri sana kwakua kabla ya draw Boss wa Sunderland alisema hapa mwanzo natamani nipate timu kama Arsenal au spurs halafu huko mbele ndiyo nipate giants.
Matamanio yake yamejibiwa. Tukilose kutakua na memes nyingi tailored around hiyo kauli yake.
He has been nicknamed GabinhoRaha ya watoto wengi wa kibrazil mpira kwao ni zaidi ya kufunga magoli tu, kabla ya kufunga goli anahakikisha anakutesa kwanza. Gabriel Martinelli might be the next phenomenon 🔥.
Aendelee kujifunzia kichwa cha Mwendawazimu hakuna tatizo. He is just another Unai Emery with better English. We were just very unjust to suck him, and it was media motivated to that act, but by far he is better than mr Hair cut.Happy two-year anniversary, Boss Mikel Arteta
Congrats
Young and getting there despite best coaches and manager in Epl you still manage to be in Top 4 and just 6points behind Chelsea with bigger players
Two years of mediocrity if the clown happens to be in spurs, chelsea or utd he could've have been sack for so long.
He is not a bad manager but sometimes his inexperience is easily exposed. Especially in big games. He must stop being a coward try to open play & press high against so called top 5 clubs.
You'll always be on the wheel
We expect better and better weeks after weeks.
Happy anniversary. Keep putting smile on the fans faces.... You are a class manager.
We all love this club but we don't deserve him at our clubThat's why I chose to become a bachelor to dedicate my time and life to Arsenal.
I loveArsenal with all my heart
![]()
![]()
Arsenal hatukua na kocha mbaya tulipompata Emery, kocha anayefuatilia game kwa passion, anayeamini vipaji mpaka cha daraja la tatu huyu ni kocha wa kua naye kwa muda mkubwa.Aendelee kujifunzia kichwa cha Mwendawazimu hakuna tatizo. He is just another Unai Emery with better English. We were just very unjust to suck him, and it was media motivated to that act, but by far he is better than mr Hair cut.
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala his anniversary, top 4 is just a fortunate but not by his work but bu the postponements of spurs and other elite clubs game.
Ni vigumu kum-judge Arteta kama ni kocha bora. Ni mapema mno. Haya matokeo tunayoyapata baada za kuzifunga timu badly hit with Covid-19 yasitudanganye. Tusubiri kwanza. Naona watu mmekuwa over-excited na matokeo ya mechi mbili!!!!Arsenal hatukua na kocha mbaya tulipompata Emery, kocha anayefuatilia game kwa passion, anayeamini vipaji mpaka cha daraja la tatu huyu ni kocha wa kua naye kwa muda mkubwa.
Kipindi Emery anaanza kupondwa nikawa nasema timu on paper unaona inabidi ikupe matokeo lakini timu ikiingia uwanjani inacheza bila morali, desire kila mtu yupo yupo tu na ni katika nyakati hizi ndiyo tukajua tatizo kuu halikua Wenger. Ni Stan.
Is Emery better than Arteta? History inambeba Emery lakini alishindwa kuipandisha morali Arsenal a task ambayo Arteta amefanikiwa kiasi chake.
FACT umeongea problem kubwa ya fans wa Arsenal wanaridhika haraka sana kuwa Top 4 tunaona kama tumewinNi vigumu kum-judge Arteta kama ni kocha bora. Ni mapema mno. Haya matokeo tunayoyapata baada za kuzifunga timu badly hit with Covid-19 yasitudanganye. Tusubiri kwanza. Naona watu mmekuwa over-excited na matokeo ya mechi mbili!!!!
but kiukweli hata ambao wapo chini yetu wakiwin viporo vyao tunatoka pale that's naked truth but all in all wanasema muombee adui njaa na wewe shinda mechi zakoWalau mtu ameweza kupoint out. Teta yupo chuo na bahati mbaya ametuchagua sisi kama daraja la kututumia kujifunza. Which is very bady na kuna gharama kubwa sana kwetu kwa maendeleo na ustawi wa Team.Ni vigumu kum-judge Arteta kama ni kocha bora. Ni mapema mno. Haya matokeo tunayoyapata baada za kuzifunga timu badly hit with Covid-19 yasitudanganye. Tusubiri kwanza. Naona watu mmekuwa over-excited na matokeo ya mechi mbili!!!!
Next 5 games za Spurs ni Crystal Palace/Southampton/Watford/ Arsenal/Chelsea na next 5 games za wale wagonjwa wa Old trafford ni: Newcastle/Burnley/Wolves/Aston Villa/Westham. Spurs wana viporo 3 ambavyo sio threat kwao, Wagonjwa wana viporo 2 ambavyo pia sio threat kubwa kwao. Kwa hiyo tunaweza kuwa Top 4 kwa muda.FACT umeongea problem kubwa ya fans wa Arsenal wanaridhika haraka sana kuwa Top 4 tunaona kama tumewinbut kiukweli hata ambao wapo chini yetu wakiwin viporo vyao tunatoka pale that's naked truth but all in all wanasema muombee adui njaa na wewe shinda mechi zako
Threat kidogo walau game ya Leicester City. Wengine ni effort yao tu wanaweza kupata maximum point.Next 5 games za Spurs ni Crystal Palace/Southampton/Watford/ Arsenal/Chelsea na next 5 games za wale wagonjwa wa Old trafford ni: Newcastle/Burnley/Wolves/Aston Villa/Westham. Spurs wana viporo 3 ambavyo sio threat kwao, Wagonjwa wana viporo 2 ambavyo pia sio threat kubwa kwao. Kwa hiyo tunaweza kuwa Top 4 kwa muda.
Katika watu wanaoongoza kuzuia excitement yawezekana nimo. Ndiyo maana hautaona comment yangu ikisifia ushindi dhidi ya spurs msimu huu.Ni vigumu kum-judge Arteta kama ni kocha bora. Ni mapema mno. Haya matokeo tunayoyapata baada za kuzifunga timu badly hit with Covid-19 yasitudanganye. Tusubiri kwanza. Naona watu mmekuwa over-excited na matokeo ya mechi mbili!!!!