Upo sahihi hata sisi pia tumemtoa mtu hapo hatukupakuta patupuLigi haijaisha,Usikutee Arsenal inashika nafasi ya 4 Kwa masaa kadhaaa pekee na kulia mpaka damu kuushika japo Kwa muda hiyo nafasi.
Upo sahihi hata sisi pia tumemtoa mtu hapo hatukupakuta patupuLigi haijaisha,Usikutee Arsenal inashika nafasi ya 4 Kwa masaa kadhaaa pekee na kulia mpaka damu kuushika japo Kwa muda hiyo nafasi.
Hawa Ass hawana akili hata kidogo, yaani hivyo vifijo na nderemo wanazopiga ni kukaa tu nafasi ya 4 tena kwa muda mfupi tu, sasa sipati picha siku wakifanikiwa kuongoza ligi au kuchukua kombe la premier league.Ligi haijaisha,Usikutee Arsenal inashika nafasi ya 4 Kwa masaa kadhaaa pekee na kulia mpaka damu kuushika japo Kwa muda hiyo nafasi.
Tuongelee Liverpool model yake inafanana na Arsenal cuz WanaExploit inefficient market kwa kununua wachezaiji wenye quality kwa cheap price imemuaffect vipi kwenye squad rebuild yake?Mbona kasema ukwelii? Uwekezaji unao fanywa na psg,Madrid,Bayern,Man city ndo chanzo Cha mafanikio Yao mpaka kufikia leoo.Bila uwekezaji pengine wasinge fika hapo walipo Sasa.
Ungemtoa mtu wakati idadi ya mechi nyote mnalinganaa ingekuwa poa saaana...Upo sahihi hata sisi pia tumemtoa mtu hapo hatukupakuta patupu
ila wewe nakupiga ndani nje auna namnaSi ndiyo vinabo wenzako wakasema kocha fala
Na ndo maana Liverpool kafanikiwa zaidi kuliko Arsenal,Kama ulivyo sema hapo kuwa model zinafanana za Liverpool na Arsenal.Mshikaji anasema Arsenal abadilishe model,Afanye model iwe kama ya PSG,Man city na Madrid,,,kwani kakosea wapii?????Tuongelee Liverpool model yake inafanana na Arsenal cuz WanaExploit inefficient market kwa kununua wachezaiji wenye quality kwa cheap price imemuaffect vipi kwenye squad rebuild yake?
Robbo & Gini wametoka championship, Tsimikas unajua katoka wapi? Vipi kuhusu
TAA ?
Salah & Mane walinunuliwa kwa £100m ? Hiyo strategy imewazuia vipi kuchukua ubingwa wa EPL & UCL?
Shida mpira hamjui kelele kibao.
Unaweza kujifunza hata Benham alitumia strategy gani kuirudisha Brentford EPL baada ya miaka 75 inaweza kukupa mwanga kidogo uelewe mpira wa kileo unaendeshwa vipi.
Ok basi tufanye tulikuta hakuna mtuUngemtoa mtu wakati idadi ya mechi nyote mnalinganaa ingekuwa poa saaana...
Mngefika mwezi wa 11 Sasa.
Hii timu inayosema haiwezi kushinda kwavile Kante kaumia?ila wewe nakupiga ndani nje auna namna
Sent using motorola 78
Maana yake abadilishe,hii aliyo nayo saivi kama ya Liverpool haimusaidii.Achukue model ya man city ,psg!Na ndo maana Liverpool kafanikiwa zaidi kuliko Arsenal,Kama ulivyo sema hapo kuwa model zinafanana za Liverpool na Arsenal.Mshikaji anasema Arsenal abadilishe model,Afanye model iwe kama ya PSG,Man city na Madrid,,,kwani kakosea wapii?????
Sijasema hakukuta timu ambayo Iko namba 4.Nimesema Arsenal ingekuwa inashika nafasi ya 4 timu zote zikiwa na idadi Sawa na mechi za kucheza,Ingekaaa poa saana,Ok basi tufanye tulikuta hakuna mtu
Liverpool kafanikiwa sababu time factor, muda waliotumia kuwin first trophy bado hatujaufikia since rebuild.Na ndo maana Liverpool kafanikiwa zaidi kuliko Arsenal,Kama ulivyo sema hapo kuwa model zinafanana za Liverpool na Arsenal.Mshikaji anasema Arsenal abadilishe model,Afanye model iwe kama ya PSG,Man city na Madrid,,,kwani kakosea wapii?????
Siyo lazima kuwa psg Wala man city.Lakini mshikaji alikuwa na maana ya kwamba Arsenal abadili model Kwa lengo la kufanikiwa,Akitolea mfano wa model wanayo tumia Madrid,Psg na Man city.Liverpool kafanikiwa sababu time factor, muda waliotumia kuwin first trophy bado hatujaufikia since rebuild.
Ajax pia wanaModel nzuri tatizo ni players retention, sio lazima kuwa km PSG ili ushinde trophy.
Kwanini Greenwood?? Na siyo Lingard au Martial????Mleteni Mason Greenwood aje ajifunze Football under Mikel Arteta, huko pengine anapoteza muda
wew bila kante ntakupiga 5 ila akiwepo unakula 7Hii timu inayosema haiwezi kushinda kwavile Kante kaumia?
Sisi tuna angalia mechi zetu, hao wengine watajua wenyewe. Kumbuka hao wengine hawaja cheza so hii ni EPL lolote linaweza kutokea.Aliye kuwa nacho na anaye tarajia kukipata ni watu wawili tofauti, sababu anaye tarajia anaweza hasipate.Sijasema hakukuta timu ambayo Iko namba 4.Nimesema Arsenal ingekuwa inashika nafasi ya 4 timu zote zikiwa na idadi Sawa na mechi za kucheza,Ingekaaa poa saana,
Siyo Sasa,unakuwa namba 4 unatamba huku aliye nyuma Yako hujui atafanya Nini Kwa mechi ambazo anazo kama kiporo,kiasi Kwamba akifanya vizuri mechi zakee hizoo,hiyo namba 4,haitakuwa Yako Tena.
Sahihi kabisa aliyenacho hawezi kujifananisha na anayetajarajia kuwa na ho maana mipango huwa sio matumiziiSisi tuna angalia mechi zetu, hao wengine watajua wenyewe. Kumbuka hao wengine hawaja cheza so hii ni EPL lolote linaweza kutokea.Aliye kuwa nacho na anaye tarajia kukipata ni watu wawili tofauti, sababu anaye tarajia anaweza hasipate.