Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa Ass hawana akili hata kidogo, yaani hivyo vifijo na nderemo wanazopiga ni kukaa tu nafasi ya 4 tena kwa muda mfupi tu, sasa sipati picha siku wakifanikiwa kuongoza ligi au kuchukua kombe la premier league.
Wanaume wapo bize kipindi hiki wakipambana kuzuia maambukizi mapya ya Corona, wao wanachekelea kumfunga mgonjwa wa Corona.
Ila tusiwalaumu sana maana akili zao walishajijengea taswira ya kushuka daraja msimu huu.
Nyie mashabiki wa man u roho inawauma kweli arsenal kufika hapo mlitarajia msimu huu muda kama huu tuwe nafasi 15 ila mambo yapo tofauti mmebaki kubweka bweka
 
Hawa ndio watu tunaArgue nao mambo ya mpira kila siku, No wonder watu wanaoelewa mpira huwa wanakaa kimya kwa Fanbase ya aina hii, inatia aibu ukiwa shabiki wa aina hii.
Unajipa shida bure kumjibu huyo milangomitatu
 
Lacazette kwa sasa yupo vizuri na ni muhimu sana kuweka bench laca tutarud kule kule .

Mm naona tuendelee na formation hii hii
Odegaard na Smith wapokezane
FACT kwa position alionao Arsenal sasa katika 3 coming matches akipata point 7 basi licha simkubali kocha wetu but anaweza akatupeleka champions league na akawa amenifunga mdomo milele
 
Umeona nini na nini? Nimeishi Sae na Mwakibete

Jana palikuwepo na baridi kali Mbeya, nikaona uvivu kwenda Mwairubi nilipopanga kuangalizia mpira, nikaamua ninunue bundle harafu niangalizie kwenye app ya DSTV. Oops mtandao mbeya is the mess, hata Vodacom haiwezi kustream mpira kwenye standard definition!!!!
 
Back
Top Bottom