Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_2021-12-16-16-45-42-90.jpg
 
Hongereni sana wana arsenal kwa kumdhibiti ipasavyo Moyes alianza kuota mapembe [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuwapiga kwa kitu kizoto kichwani bwana Clopp na TT[emoji23][emoji23]
 
These people dont watch football, they just talk.
Mpira gani ambao hatuangalii?every weekend and even weekdays we watch Arsenal matches bro kuwin jana tu after kulose two consecutive matches leo unasema we don't watch football seriously?heheheheheheheh
 
Msimu wake wa pili Kloop was very close na epl ila akanyanyua CL, Msimu wa Tatu akanyanyua EPL. Do you see Arteta anyway close na chochote kati ya hivyo nimevitaja hapo juu!?
Fact tupu Three years now tangia apewe nafasi watu wanashangilia top 4 jana for the first time utafikiri tumebeba EPL trophy [emoji471]
 
Why a new manager would make us better immediately?
Haitasaidia!Maana maboss wa Arsenal bahili saana kununua wachezaji ambao kocha anawahitaji.

Nyie mkomae na Arteta wenu usikute msimu huu mkachukua tena FA cup maana ndo Kombe lenu la kujidai.
 
Haitasaidia!Maana maboss wa Arsenal bahili saana kununua wachezaji ambao kocha anawahitaji.

Nyie mkomae na Arteta wenu usikute msimu huu mkachukua tena FA cup maana ndo Kombe lenu la kujidai.
Wachezaji gani kocha anawahitaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom