Kwanza nataka wote muelewe hii #ArtetaOut
computerarsenal in hua naandika kumtania huyo jamaa. Hua sina kawaida ya kuunga mkono movt za out.
Stats za Ushindi mkubwa nafikiri umezitoa fotmob but kabla ya 3-0 ushindi mkubwa ulikua 4-2 katika ligi na kule kwingine tumeshamfunga mtu sita (au 5 sikumbuki vizuri) kikosi chetu hakina scorer aliyekua mzuri katika kuscore amekua butu.
Timu ambayo haina scorer ni ngumu kushinda goli nyingi. Chelsea pamoja na kukaba vizuri ila hawezi kupata magoli mengi kwakua waliyemtegemea, Bwana Lukaku, kumbe ni kimeo. So for now ushindi wowote inabidi upokelewe.