Muhimu tushinde tu mechi zetu.Hivi kwann game zetu hazihairishwi?
AiseeeehKuna hati hati ya game yetu kufutwa pia
Kuna hati hati ya game yetu kufutwa pia
Source??Kuna hati hati ya game yetu kufutwa pia
Ikifutwa nitakuwa na siku yenye kubore sana.Kuna hati hati ya game yetu kufutwa pia
Hii mechi mda gani faza mbona kama sijaelewa hii screenshot yako?
Hii mechi mda gani faza mbona kama sijaelewa hii screenshot yako?
si saa mbili au?
SawaSaa 2.30
But true is vice versa kwa Arsenal unakumbuka Rashford alipatia jina kwa kuscore 2 goals vs Arsenal 2015/2016?you never know broUkiangalia kikosi cha Leeds, lazima wapigwe, wana injuries wengi. Nawaonea huruma