DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Hapa ni home kabisa.........nahitaji winning run atleast 5 games ili shida zianze huko kwa majirani,Karibu sheikh wetu



Hapa ni home kabisa.........nahitaji winning run atleast 5 games ili shida zianze huko kwa majirani,Karibu sheikh wetu



Yani unapata hofu kwa habari iliyoandikwa na page ya shabiki wa Arsenal, kuna ukweli gani hapo mkuu, na pia kumbuka city hununui wachezaji ambao hawajaperove uwezo wao kama ilivo kwa arsenal, pep hawezi kununua huyo dogo na mawenge yote Yale aliyonayoNahofia kwamba Tavares ataanza kudemand game time kwa kujua kwamba anahitajika na City and to be fair he is good na anastahili game time
Wenzetu wanataka discipline mkuu, itakuwa amepewa adhabu ya mda Fulani.PEA will miss tomorrow’s match against Leeds. He is not available for selection once again.
The gunners foreverView attachment 848157
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
View attachment 848163
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m
View attachment 1538867
Owner: Stan Kroenke
View attachment 848173
Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick
View attachment 1511007
Head Coach: Mikel Arteta
Arsenal Trophies:
League Tittles: 13
First Division/Premier League Champions: 13 (1930/31, 1932/33, 1933/34, 1934/35, 1937/38, 1947/48, 1952/53, 1970/71, 1988/89, 1990/91, 1997/98, 2001/02, 2003/04)
European Trophies: 1
UEFA Cup Winners': 1 (1993/94)
FA Cup Trophies: 14 (1929/30, 1935/36, 1949/50, 1970/71, 1978/79, 1992/93, 1997/98, 2001/02, 2002/03, 2004/05, 2013/14, 2014/15, 2016/17, 2019/20)
League Cup: 2 (1986/87, 1992/93)
Community Shield: 15
FA Charity Cup/FA Community Shield: 15 (1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991, 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015, 2017)
Other Trophies
League Centenary Trophy: 1 (1988)
Inter-Cities Fairs Cup: 1 (1969/70)
View attachment 1542905Follow this thread for team updates!
Arsenal Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2020)
View attachment 1542904
Arsenal Premier League Timetable of 2020/21
Hiyo taarifa leo naileta mara ya pili.Yani unapata hofu kwa habari iliyoandikwa na page ya shabiki wa Arsenal, kuna ukweli gani hapo mkuu, na pia kumbuka city hununui wachezaji ambao hawajaperove uwezo wao kama ilivo kwa arsenal, pep hawezi kununua huyo dogo na mawenge yote Yale aliyonayo
Nimeona mkuu kwa maelezo yake kuwa kaitoa ESPN, ila tukiwa kama mashabiki wa mpira na wafatiliaji wa mpira pia sidhani kama unaweza kuamini man city inaweza kununua mchezaji kama TavaresHiyo taarifa leo naileta mara ya pili.
Mara ya kwanza niliileta ikiwa imetoka kwenye page ya 'Transfers' also katika reference umeona neno 'according to'? Means siyo taarifa yake.
Tumepiga Nyumbu kiboko cha harahara, chawa mchwa na mende, bawawezi kiwa hapa tena hadi hali ibadilike..zile nyumbu na timu zingine zilizokuwa zinazurura humu...zitaendelea kupotea kabisa..
..ziendelee kuzurura tu..mwisho zitarudi zilipotoka..Tumepiga Nyumbu kiboko cha harahara, chawa mchwa na mende, bawawezi kiwa hapa tena hadi hali ibadilike
Haya sawaNimeona mkuu kwa maelezo yake kuwa kaitoa ESPN, ila tukiwa kama mashabiki wa mpira na wafatiliaji wa mpira pia sidhani kama unaweza kuamini man city inaweza kununua mchezaji kama Tavares
kwa pep dogo ata sub hawezi kukaa, ukiona pep anamweka ata benchi mchezaji kutoka kikosi B basi jua huyo ni special na anajitambua na mwisho kabisa lazima awe comfortable akiwa na mpira na hii ndio sifa kubwa ambayo Tavares Hana, we angalia ata madogo wote ambao pep anawatoa kikosi B na kucheza kikosi cha wakubwa wako very comfortable na mpira
Na pep akinunua mchezaji basi waga ananunua wachezaji walio teyari kwenda kudeliver, dogo bado ana makosa mengi sana, sio tu Man City ila kuna team nyingi tu za kati ambazo haziwezi kumuamini kwa sasa, ni vile tu Arsenal iko katika kujenga team ndomana haina budi kuvumilia wachezaji kama Dogo pamoja na makosa yake, japokuwa ni promising player so anahitaji muda
Auba anachoiumiza timu sio tu kuscore, ball progression to the opposition final third na ball retention yake ni hovyo inaua build up nzima ya timu, Auba kwenye quick transition teams anafanya vizuri ila kwa positional play hapana thats why Mikel anachase a new ST.Kesho game na Leeds.
Minor issues ambazo hatutazisema kwakua tumeshinda ni kigugumizi cha kutoa pasi cha Xhaka, composure ya Saka, pressing ya kawaida, back passes, players kutoona runs zinazofanywa na wenzao n.k.
Itakua poa tukishinda, hatuna majeruhi zaidi ya Leno na Kolasinac labda corona ije kuongeza majeruhi. Auba hayupo but inability to score inafanya tusimmiss.
Mid bado miyeyusho.
Kuna taarifa ya kutafutwa Dejan Kulusevski au Renato Sanches.
Taarifa nyingine ni ya ST. Na siyo Dusan.
Jiulize pia kwa nini ziahirishwe? Ukipata jibu hautajiuliza swali lako.Hivi kwann game zetu hazihairishwi?