computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Achana na holding wewe huyo mtoa boko mambo ya experience kwenye timu hayana muda kwa sasa for example nkikuuliza kati ya Ramsdale na Holding nani anastahili kuwa Captain utasema Holding?itakuwa ni Joke of the year today Captain wa City ni Ruben Dias na amewakuta De Bryne Mahrez Silva hao wote kawakuta but Kitambaa kapewa yeye Holding katika timu yetu niSijaelewa unazungumzia experience ipi mkuu maana yupo pale kwa miaka 5-6 sasa. Na ukiondoka partner ya Gabriel na white kwa sasa. kabla ya hapo holding ndo alikuwa anaanza huku gabriel, luiz na Pablo mari wakipishana. Kwahiyo km ni issue ya uzoefu sidhani km anahitaji tena uzoefu


Arsenal haina Captain kwa sasa kwa player yoyote hakuna I remember mwaka 2004 Lauren defender wetu alitoa boko uwanjani I think vs Roma uwanjani but wameshapanda ndege wapo angani Vieira kumbe bado ana hasira akamtwanga ngumi huko huko juu coz ya boko alilotoa uwanjani but nani kwa leo hii anaweza do kama alivyofanya Vieira?who?nani?jibu ni no one so angalau namuonaga Ramsdale ana vitu vya kuwa Captain may be akipata chance anaweza kufanya kitu
