Lakini jamaa ni mgeni tatizoNI hao wawili ila mkoba Gabby anatajwa sana.
Ni sahihi kwa maana ya nationality na personality ila experience inamtupa mkono.anahitaji pitch exposure ili aweze kustahili ucaptainNilikuwa namkubali sana Auba lkn kwa hili la utovu wa nidhamu ni bora aondoke kabisa maana watu wa aina yake ndo wanaotugharimu kila mara. Na kuhusu nani apewe kitambaa nadhani ni muda sahihi wa Rob Holding
Nafikir mkuu castr aliwahi sema na mimi naongezea,tukisahau matatizo yote tuliyonayo ambayo ni CLASS NA FORM kwa players wetu; tatizo kubwa tulilonalo ni spirit, motivation na natural desire ya kushinda mechi.Ila trust me hatuna wachezaji wabaya na low class kama tunavyodhaniNi sahihi kwa maana ya nationality na personality ila experience inamtupa mkono.anahitaji pitch exposure ili aweze kustahili ucaptain
Acha utani au we mamluki nini kundini unamtaja Holding are you joking to us or what?Nilikuwa namkubali sana Auba lkn kwa hili la utovu wa nidhamu ni bora aondoke kabisa maana watu wa aina yake ndo wanaotugharimu kila mara. Na kuhusu nani apewe kitambaa nadhani ni muda sahihi wa Rob Holding
kwako umempa mangwea af kwa wa2 uwapangie.Me sio mshika manati, lakini nikiambiwa nipendekeze nani avae kitambaa, nitapendekeza yule zeru zeru wenu (Rowe) yule ndio anafaa kuwa kakamkubwa pale.









Arsenal haina mtu anayeweza kuwa captain but ni lazima achaguliwe player yeyote yule awe captain may be kwa mbali may be ni Ramsdale(but he is a new player in our squad but ikibidi apewe tu)na Tierney wengine wote waliobakia ni boys and not men,Lacca na Auba ni wale wale tu nothing new kwa Lacca ila Ramsdale unaona ana uchungu hata akifungwa face yake unaona he is regretting ila hao wengine wafungwe wasifungwe hata vicheko wanaviachia that's why naona Arsenal bado kwa nafasi ya Captain hakuna kwa players wowote wale but sababu ni lazima Ramsdale au Tierney naye kwa mbali hawa ndio wanaweza
Twende na lacazetteHawezi kuchaguliwa player yoyote yule kuwa captain, hata kama unaona wote hawana vigezo bado lazima achaguliwe captain mwenye attributes za kuwa captain. Ramsdale ni mgeni bado, Tierney ni spana na siku zote captain ni lazima acheze, huwezi kuwa na captain kila siku yupo kwenye meza ya daktari.
Mimi nadhani tuwe na interim captain up until end of the season, then hapo tutajua nani anaweza kuvaa ile armband kwa viwango na mda mrefu, in this case Lacca anaweza kutuvusha hadi June. Hatujawa na captain anayejielewa kwa miaka mingi, let's not rush this time.
Eti mangwea ha hakwako umempa mangwea af kwa wa2 uwapangie.![]()
Sent using motorola 78
Jkt orijorombona nyie amuonekan mmepangwa na nan
Sent using motorola 78
Up to know atapewa Laca but mind you Laca na Auba hawana utofauti wowote ule sema kwa sasa atapewa hadi msimu uishe but next season kama Arsenal inataka Captain apewe Ramsdale mbona Maguire alipewa na alikuwa bado mgeni bro?Tierney huyo ni Ambulance inayotembea utampaje mtu ambaye kila baada ya mechi 3 anaenda hospital?umeongea point lakini but in my opinion Arsenal inahitaji Captain kama Ramsdale hakuna namnaHawezi kuchaguliwa player yoyote yule kuwa captain, hata kama unaona wote hawana vigezo bado lazima achaguliwe captain mwenye attributes za kuwa captain. Ramsdale ni mgeni bado, Tierney ni spana na siku zote captain ni lazima acheze, huwezi kuwa na captain kila siku yupo kwenye meza ya daktari.
Mimi nadhani tuwe na interim captain up until end of the season, then hapo tutajua nani anaweza kuvaa ile armband kwa viwango na mda mrefu, in this case Lacca anaweza kutuvusha hadi June. Hatujawa na captain anayejielewa kwa miaka mingi, let's not rush this time.
Sijaelewa unazungumzia experience ipi mkuu maana yupo pale kwa miaka 5-6 sasa. Na ukiondoka partner ya Gabriel na white kwa sasa. kabla ya hapo holding ndo alikuwa anaanza huku gabriel, luiz na Pablo mari wakipishana. Kwahiyo km ni issue ya uzoefu sidhani km anahitaji tena uzoefuNi sahihi kwa maana ya nationality na personality ila experience inamtupa mkono.anahitaji pitch exposure ili aweze kustahili ucaptain
Watafanya Leadership Group na wanafuata mfumo wa Arsene Wenger.Lakini jamaa ni mgeni tatizo