Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizi ni assumptions tu na maneno yasiyo na ushahidi wowote.

Nadhani last summer Arsenal/ Stan ndio timu iliyotumia peas nyingi zaidi kuliko timu yoyote.

Huu ndio ushahidi tofauti na hapo ni assumptions tu.

Klopp alipoajiriwa na Liverpool alikaa muda sana kabla hajashinda taji lolote.
Matumizi ya pesa baada ya timu kufa yote haina msaada tunaoutaka
 
Matumizi ya pesa baada ya timu kufa yote haina msaada tunaoutaka
Hahahaahahaha

Ni upi msaada unaoutaka mkuu??

Let's be realistic aiseeee. Teams were superior back then and once they went down they never came back.

Baada ya timu kufa yote na matumizi ya pesa hayana msaada?? Sasa tutumie nini ndugu yangu kama matumizi ya pesa hayana msaada??
Yaani bro kweli kabisa unasema timu imekufa yote?? Timu ambayo imetoka kushinda FA CUP just 2019???
 
Kosi la leo.

Kocha: Profesa Sir Ralf Rangnick.
Screenshot_20211211-200018.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom