MkoPoKa
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 600
- 393
Hebu mpeni Ralf
Hebu mpeni Ralf
Ni kocha mzuri sana
Oambaneni na RalfNi kocha mzuri sana
Hahaha dah Spurs msimu wa juzi alifika final ucl lakini ilipofikia kugombea mchezaji spurs na Arsenal nani alimpata? Hili litakua jipya
Sum it up its a messThat is only one unique event but general speaking our team is totally insipid
One unique case?That is only one unique case but general speaking our team is totally insipid
Sasa katika mnajili huo wa issue ya miaka 10 na zaidi kwa nini mnamuangushia jumba bovu arteta ambae actually has tried and shown that various arsenal problems are fixable??Huu udhaifu haujaanza leo.
Una zaidi ya Muongo(10yrs) na mara nyingi magoli tunayofungwa propotion kubwa tunafungwa na team hizo sita za juu yetu. Msimu huu ukiondoa Waliopabda Daraja magoli tuliyofungwa asikimia Tisini tumefungwa na City, Fools na Chelsea.
Tatizo letu ni zaidi ya ubora wa team nadhani ni mentally zaidi tinapokutana na hao miamba.
Jumba bovu kwa sababu amechagua kuwa kichaka cha Stan.Sasa katika mnajili huo wa issue ya miaka 10 na zaidi kwa nini mnamuangushia jumba bovu arteta ambae actually has tried and shown that various arsenal problems are fixable??
Hizi ni assumptions tu na maneno yasiyo na ushahidi wowote.Jumba bovu kwa sababu amechagua kuwa kichaka cha Stan.
Stan hawezi kuketa kocha wa maana kwa sababu watapushana kwenye malengo, Arteta ameamua kuitumia Arsenal kujinufaisha kwa kujaribubinu zake. Wakati tajiri anajificha nya yake kuendelea kuitafuna Arsenal.
ukileta kocha anayetaka mataji watashindana kwenye malengo hasa timing ya uwekezaji kiwanjani. Lini utoe pesa za kununua mchezaji na kwa nini muda husika. Ila kwa Arteta kwa sababu anajifunza haya ya misimu ya luwekeza na kubaki na nani bado hajui na itachukua muda sna kuyajua. Na akija lujua hapatakuwa mahala sahihi kwake kubakia, atatafita mahala akajipambanue na kufanya yanayoleta mataji ambayo Arsenal sio kipaumbele,.