Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

..ipo siku nasisitiza ipo siku..mishabiki ya nyumbu na timu zingine zitaukimbia huu uzi wetu pendwa..anyway hopefully mko poa wanafamilia wenzangu wa ARSENAL.
That may be inaweza kutokea bwana Mustache akiiacha team toka kifungo cha mfuko wake
 
it is possible, you need to accept the truth that tumepoteza mvuto meaning no longer an attractive destination for high profiled players
Hahaha dah Spurs msimu wa juzi alifika final ucl lakini ilipofikia kugombea mchezaji spurs na Arsenal nani alimpata? Hili litakua jipya
 
Let us be realistic mfano kwa sasa mchezaji anaambiwa choose side kwa Arteta wa Arsenal au Conte wa spurs unahisi ataenda wapi?
Arteta won against Mourinho katika kusajili.

Mourinho ana titles kumzidi Arteta na Conte combined.
 
Arteta won against Mourinho katika kusajili.

Mourinho ana titles kumzidi Arteta na Conte combined.
May be huyo mchezaji hajitambui kiakili na kifikra kwa mchezaji mwenye akili timamu na iliyonyooka hawezi kuja Arsenal akawa chini ya Arteta na hata akija Arsenal atakuwa ameshajichokea zake na si yule ambaye yupo kwenye class ya world players
 
Basi sawa acha tuone baada ya Arsenal kumkosa hawa spurs wakimchukua dusan
 
Arsenal imekuwa weak against top teams, huu ni udhaifu mkubwa msimu huu. Naamini our defence iko poa this time around, tatizo ni kina Auba & co.
Huu udhaifu haujaanza leo.
Una zaidi ya Muongo(10yrs) na mara nyingi magoli tunayofungwa propotion kubwa tunafungwa na team hizo sita za juu yetu. Msimu huu ukiondoa Waliopabda Daraja magoli tuliyofungwa asikimia Tisini tumefungwa na City, Fools na Chelsea.

Tatizo letu ni zaidi ya ubora wa team nadhani ni mentally zaidi tinapokutana na hao miamba.
 
udhaifu wetu mara zote ndiyo kuujenga ubora wetu.
Ukiona tatizo unalo kwa zaidi ya miaka 10 hujashughuluka nalo au una shughulika nalo na hakuna mabadiliko basi tatizo lipo kea wanaotafuta huo ufumbuzi wa tatizo na sio watekekezaji wa mipango ya kuondoa Tatizo. (Uongozi na sio Wachezaji)
 
..ninacho kiamini kaka tutarudi kwenye ubora wetu.
 
..kazi nzuri.

FB_IMG_1638200855126.jpg

FB_IMG_1635811507690.jpg
 
...mimi imani yangu huwa ni moja wanfamilia wenzangu..tutarudi kwenye ubora.
Hilo halina shaka. Ila kurejea huko kwenye hiyo imani ambao wengine sio imani bali matamanio yetu ni kuwa Stan has to go kwanza na sio vinhinevyo. Yeye ni gundu letu linaloishi
 
Hilo halina shaka. Ila kurejea huko kwenye hiyo imani ambao wengine sio imani bali matamanio yetu ni kuwa Stan has to go kwanza na sio vinhinevyo. Yeye ni gundu letu linaloishi
..achana kabisa huyo mtu..yeye ni mfanya biashra..
 
Back
Top Bottom