Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Dusan Vlahović to Arsenal is complicated as the player has zero interest in joining the club 
Via @FabrizioRomano

Via @FabrizioRomano

not complicated, but quite impossible, the club no longer attracts big names.Dusan Vlahović to Arsenal is complicated as the player has zero interest in joining the club
Via @FabrizioRomano View attachment 2036635
Ukweli ulio uchi. Fukuza hiyo mbwa Mikel, pukujaaaa...not complicated, but quite impossible, the club no longer attracts big names.
Very true! Hili ndio tunapitia wengi.Arsenal's fans feeling Circle View attachment 2036087
Kufukuza Arteta ilhali Silent Stan yypo hakutatua matatizo ya Team. Matatizo ya team ni uwepo wa Stan na sio aina ya Mwalimu aliyepo.Ukweli ulio uchi. Fukuza hiyo mbwa Mikel, pukujaaaa...
Arteta apewe muda.Kufukuza Arteta ilhali Silent Stan yypo hakutatua matatizo ya Team. Matatizo ya team ni uwepo wa Stan na sio aina ya Mwalimu aliyepo.
Mnahiraji upeo zaidi ya huu kuelewa Mambo yalivyo
In Arteta we believe.Ukweli ulio uchi. Fukuza hiyo mbwa Mikel, pukujaaaa...
Tembea zako


Kwamba Arsenal imkose mchezaji halafu Spurs impate?The club are looking for a new striker in January! Dejan is one of their targets but face competition from Spurs! 👀
Would you like to see Kulusevski at Arsenal? 🤔
it is possible, you need to accept the truth that tumepoteza mvuto meaning no longer an attractive destination for high profiled playersKwamba Arsenal imkose mchezaji halafu Spurs impate?
Sio Spurs tu hata Aston Villa washatupiga kwa Buendia maana tulikuwa tunapapatuana nao KumtakaKwamba Arsenal imkose mchezaji halafu Spurs impate?