computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
I remind you guysArsenal will improve pale Arteta atakapofukuzwa na kutupiwa mabegi yake nje otherwise mtaendelea kuona rivals wenu wanaingia Top 4 na kuqualify Europe competition every season huku Nyie mkibakia na FA and Carabao Cup competition Stupid
Read your article againNi ngumu sana kujua anachotaka computer mimi niliacha sooner baada ya kuona anaandika sana mazingaombwe. Ni sahihi kila mtu kua na mawazo yake ila kama kila mtu anakuambia mawazo yako ni miyeyusho take a step back yaangalie tena.
Week in week out computerarsenal anachagua tu week hii nanung'unikia kikosi. Week ijayo kama tukishinda nanung'unikia kocha.
Muda mwingine naona anaandika komedi natamani kumjibu ila napita kushoto mfano nimeona komenti yake akisema Arsenal haivutii tena big players lakini mimi kwavile angalau nafuatilia mpira nilitaka kumuuliza kama anajua united imekataliwa na wachezaji wangapi mpaka wakaamua kununua wale watoto wakina Pellistr? Thiago alikataa kwenda united, Reguillon alikataa, wawili wengine wamenitoka.
Msimu huo huo Dest akagoma kujiunga Bayern akaenda Barcelona. Bayern hapo imetoka kuchukua uefa na imeipiga 8 barca dest akaenda kule kulikopigwa 8. Wijnaldum akagoma kwenda barca akaja kwenye hiyo timu yako mpya psg.
Huyu Renato amekaa anasubiri ofa kutoka Arsenal. Mchezaji anayesubiri hata salamu kutoka Arsenal ni Zaha, Tammy alitaka kuja Arsenal pia.
Kwani liva wachezaji unaowaona leo imewatoa timu gani? Anza na front three yao Mane Southampton, Salah reject wa chelsea akachukuliwa kutokea Roma hakuna mchezaji ambaye alikua on fire alitakiwa na timu zingine halafu liva ikamfuata.
Zaidi ya misimu 6 au 7 Arsenal anamaliza juu ya liva, Arsenal amemiss kucheza michuano ya ulaya msimu huu lakini kwa liva ilikua kawaida. Klopp anaanza kuifundisha liva ilikua ni vipigo defense inacheza kama maguire forward ya sturridge haina kitu.
Sasa computerarsenal unatamani leo hii Arsenal labda iseme inamtaka Kimmich au Mbappe halafu wakubali kuja? Hiki ndiyo nimekisema unaandika mazingaombwe. Baada ya kujiestablish vizuri ndiyo Liva imeweza kumfuata mchezaji kama Thiago.
Mchezaji kama Dusan ni sahihi kwake kutamani kua sehemu ambayo itamfeed ego lakini Klopp alimuambia Coutinho "Baki Liva utakua supastaa ukienda Barca utakua ni mchezaji wa Barca" huu ushauri ilitakiwa aupate Jovic alipoamua kwenda Madrid n.k.
Umetoa hoja ya kwamba atafutwe kocha mzuri kumzidi Arteta. Taja majina. As in jamani Arteta ni kinabo achukuliwe fulani, ambacho haujui pia ni kwamba makocha wakubwa wanakuja na matakwa makubwa. Conte aliacha kazi Inter kwakua aliambiwa bajeti inakatwa na key players watauzwa.
Akaigomea kazi ya Spurs baada ya Levy kusema hana mpango wa kuinvest. Spurs ikamchukua Nuno, imempiga chini, imemrudia Conte. This means ama Levy yupo tayari kuongeza pesa au anataka kumtapeli Conte.
Hata Arsenal ikisema inamtaka kocha wa viwango unavyotaka wewe mahitaji yake yatamfanya asichukuliwe yaani Artet akiachwa kocha wa kuja pale aweza kua Rooney, Vieira hivi au kocha wa mid table kutoka ligi nyingine.
Unanung'unika sana huku haujui vitu vingi. Emotion ziko mbele mno. Nitaappreciate kama ukiamua kujibu useme kwamba 'Mkinionyesha kitu A, B, C kitawezekana vipi nitaacha hii tabia' siyo zile za 'Arsenal ana negative GD this is unbelieavable' huku unasahau kuangalia title contenders wawili spurs na united wana GD gani.
Man up grow a spine
Read your article againHuyu jamaa ana mambo makuu mawili au matatu yanayomsumbua.
1. Sio kwamba hataki kuchambua mpira km wengine wanavyojitahidi kufanya anataka na anatamani sana shida ni kwamba hajui aanzie wapi na aongee kitu gani(hajui) ndo maana leo atasema hili kesho atakuja na lile.
2. Yawezekana ni mtoto mdogo na hajawa na uwezo wa kujenga hoja kwenye mijadala hivyo anatumia jukwaa hili kukuza uwezo wake japokuwa anaweza kuwa anashindwa kugundua vitu vingine vinavyomuongezea uwezo wa kufikiri ili atengeneze hoja ya kueleweka
3. Yawezeka siyo shabiki wa arsenal na pia hajui mpira japo anaweza kuwa mpenzi wa mpira kwahiyo anachofanya ni kuiponda arsenal huku akijifanya shabiki bila kuwa na sababu za kimpira.
Nahitimisha kwa kusema kuwa huyu bwana nimekuwa nikifuatilia argument zake lkn hakuna cha maana alichowahi kuki-argue hivyo binafsi nikampuuza. Sasa hapa pia nashauri watu kumpuuza kwa kuwa huwa hana fact za kimpira zaidi ya kuwa na lugha za matusi au kejeli.
Mysterio I talked few weeks ago na leo umeongea kama mimiInasikitisha sana Arsenal haina mvuto tena kwa Big players kwa sasa kwa players they know their value hawawezi kuja kucheza chini ya Arteta otherwise Arsenal iingie champions league or EPLevery day itakuwa ni tetesi kisha usajili unafungwa unabakia na majina yale yale unahisi mchezaji anayetaka makombe atakuja kuwa chini ya Arteta?this will never happen may be coach awe na jina kubwa na CV ya kutosheleza
Bro your question la last week linaendeelea kujibiwa na negative results zinazopatikana under Arteta upo bro?Mkuu ili leo nisikuone mpumbavu nieleze kwanini Arsenal haitafanikiwa under Arteta, nieleze technically( kiufundi) kwa uelewa wako wa mpira...usiniambie 'believe me bro', leta Arguments ambazo zinakuwa, supported by facts(data).
Unakosea sn unapomlaumu Arteta pekee unasahau ni miaka karibu 50 ss hamna kinachofanyika.Bro your question la last week linaendeelea kujibiwa na negative results zinazopatikana under Arteta upo bro?
Mmeharibu kiwango cha Auba, mchezaji classic mnamuwekea vitoto leo mnamlaumu, huyu Auba ana akili sawa sawa kweli huyu? Yani timu saizi yake zilikuwepo kibao eti akaenda Arsenal.Inakatisha tamaa sana. Let me go to bed, siku yangu imeharibika. Last minute Aubameyang had a clear chance to score, angalia aliyoyafanya. 350k a week player!!!!
Mashabiki wa Arsenal mpo frustrated sanaNi ngumu sana kujua anachotaka computer mimi niliacha sooner baada ya kuona anaandika sana mazingaombwe. Ni sahihi kila mtu kua na mawazo yake ila kama kila mtu anakuambia mawazo yako ni miyeyusho take a step back yaangalie tena.
Week in week out computerarsenal anachagua tu week hii nanung'unikia kikosi. Week ijayo kama tukishinda nanung'unikia kocha.
Muda mwingine naona anaandika komedi natamani kumjibu ila napita kushoto mfano nimeona komenti yake akisema Arsenal haivutii tena big players lakini mimi kwavile angalau nafuatilia mpira nilitaka kumuuliza kama anajua united imekataliwa na wachezaji wangapi mpaka wakaamua kununua wale watoto wakina Pellistr? Thiago alikataa kwenda united, Reguillon alikataa, wawili wengine wamenitoka.
Msimu huo huo Dest akagoma kujiunga Bayern akaenda Barcelona. Bayern hapo imetoka kuchukua uefa na imeipiga 8 barca dest akaenda kule kulikopigwa 8. Wijnaldum akagoma kwenda barca akaja kwenye hiyo timu yako mpya psg.
Huyu Renato amekaa anasubiri ofa kutoka Arsenal. Mchezaji anayesubiri hata salamu kutoka Arsenal ni Zaha, Tammy alitaka kuja Arsenal pia.
Kwani liva wachezaji unaowaona leo imewatoa timu gani? Anza na front three yao Mane Southampton, Salah reject wa chelsea akachukuliwa kutokea Roma hakuna mchezaji ambaye alikua on fire alitakiwa na timu zingine halafu liva ikamfuata.
Zaidi ya misimu 6 au 7 Arsenal anamaliza juu ya liva, Arsenal amemiss kucheza michuano ya ulaya msimu huu lakini kwa liva ilikua kawaida. Klopp anaanza kuifundisha liva ilikua ni vipigo defense inacheza kama maguire forward ya sturridge haina kitu.
Sasa computerarsenal unatamani leo hii Arsenal labda iseme inamtaka Kimmich au Mbappe halafu wakubali kuja? Hiki ndiyo nimekisema unaandika mazingaombwe. Baada ya kujiestablish vizuri ndiyo Liva imeweza kumfuata mchezaji kama Thiago.
Mchezaji kama Dusan ni sahihi kwake kutamani kua sehemu ambayo itamfeed ego lakini Klopp alimuambia Coutinho "Baki Liva utakua supastaa ukienda Barca utakua ni mchezaji wa Barca" huu ushauri ilitakiwa aupate Jovic alipoamua kwenda Madrid n.k.
Umetoa hoja ya kwamba atafutwe kocha mzuri kumzidi Arteta. Taja majina. As in jamani Arteta ni kinabo achukuliwe fulani, ambacho haujui pia ni kwamba makocha wakubwa wanakuja na matakwa makubwa. Conte aliacha kazi Inter kwakua aliambiwa bajeti inakatwa na key players watauzwa.
Akaigomea kazi ya Spurs baada ya Levy kusema hana mpango wa kuinvest. Spurs ikamchukua Nuno, imempiga chini, imemrudia Conte. This means ama Levy yupo tayari kuongeza pesa au anataka kumtapeli Conte.
Hata Arsenal ikisema inamtaka kocha wa viwango unavyotaka wewe mahitaji yake yatamfanya asichukuliwe yaani Artet akiachwa kocha wa kuja pale aweza kua Rooney, Vieira hivi au kocha wa mid table kutoka ligi nyingine.
Unanung'unika sana huku haujui vitu vingi. Emotion ziko mbele mno. Nitaappreciate kama ukiamua kujibu useme kwamba 'Mkinionyesha kitu A, B, C kitawezekana vipi nitaacha hii tabia' siyo zile za 'Arsenal ana negative GD this is unbelieavable' huku unasahau kuangalia title contenders wawili spurs na united wana GD gani.
Man up grow a spine
Wote hovyo, players hovyo, kocha hovyo, wenye timu hovyo.Tatizo ni players or coach?acha kuzunguka zunguka mention nani anayesababisha yote haya?
Umeua mende kwa shokaMashabiki wa Arsenal mpo frustrated sana
Nimesoma hii post yako nikaishia pale uliposema United haina pulling power Kwa wachezaji wakubwa/bora
Kama kusema hivyo inaweza kuwasadia kupunguza machungu yenu its okay
Kwamba United imemsajili Pellestri sababu imeshindwa kusajili nyota ulimwenguni. Mbona United wamefanya sajili za namna hii tangu kipindi cha SAF, CR7 alisajiliwa akiwa potential lakini sio bora, Nani, Rafaeli na pacha wake, Bebe pia alisajiliwa kwa sera hiyo hiyo na wengine wengi. Pelestri alisajiliwa baada ya Folan kuwastua United kwamba kuna mchezaji potential Uruguay, na United ikamsajili ... Pia imemsajili Diallo kama potential. Kiufupi top teams duniani zote zinafanya hivyo, angalia akina Madrid kwa Valverde, Bayern kwa left back wao n.k.
Kuhusu Thiago, Man Utd hawakumtaka ... Kwa mwaka Man Utd huwa inahusishwa na wachezaji wapya zaidi ya 500 kwa sababu za kibiashara,je wote hao huwa inawataka? Unajaribu kujipa matumaini feki kwamba kwakuwa Man United inakataliwa na wachezaji basi its okay na Arsenal kukataliwa, United na Arsenal hawapo kwenye same boat mkuu.
Kuhusu Regulion, Man Utd walikataa kumsajili sababu ya kipengele cha kipuuzi ambacho Real Madrid walikiweka. Kwamba wapo tayari kuiuzia United kwa around £35 milion lakini, wakimtaka baada ya miaka 2 (supposedly Marcelo akichoka) United italazimika kuwauzia kwa gharama isiyozidi £40 milioni. Huo ni kama mkopo, tena mkopo ghali ... Hakuna timu kubwa duniani itakubali hilo sharti, kwamba wam develope mchezaji halafu Madrid waje kumchukua akiwa ameiva. Na ndipo United ikamsajili Alex Telez.
Kwa upande wa Haaland kulikuwa na masharti ya kipuuzi hivyo hivyo. Kwanza Raiola alitaka signing on fee kubwa, halafu wanalazimisha United ikubali kumuuza ndani ya 2 years endapo kuna timu itamuhitaji kwa £60 milion. Huo ujinga ni timu ndogo kama Dortimund ndio zinaweza kuukubali.
Unasema Man Utd haina pulling power Kwa wachezaji nyota, CR7 amekuja msimu huu yeye sio bora? Sancho, Varane vipi? Cavani, Bruno wote hao ni wachezaji wa kidunia. Hapo nyuma United imesajili akina Lukaku, Sanchez na wengine wengi.
Tafuta namna nzuri ya kujenga hoja na si kudanganya watu mkuu
Eti Man Utd inakataliwa na wachezaji alafu hapo hapo ina mchezaji ana ballon dor 5, msifosi tufanane jombaaMashabiki wa Arsenal mpo frustrated sana

PlayersTatizo ni players or coach?acha kuzunguka zunguka mention nani anayesababisha yote haya?