Okonkwo kasajiliwa na Arsenal akitokea klabu gani vile?😅😅Kuhusu usajili wa mtu Ighalo, umeona kwa United inaonekana kama big deal lakini kwa timu kama Arsenal ni kitu cha kawaida
Ndio maana wapo akina Tomiyasu, Okonwo, Kolasnic, yule beki Mbrazil na wala hamnung'uniki
Nikukumbushe tu, kuwa hizi timu kuna wakati zinafanya sajili kama hizo (ila ni mara chache cha sana). Mfano Barca wamewahi kumsajili Boateng, Braithwaite n.k. Bayern wamesajili mtu kama Choupo Moteng mchezaji wa zamani wa Stoke City. Mifano ipo mingi.
Kuhusu akina Pelestri nilishakufafanulia. Usipotaka kuelewa that's not my problem
Ragnick juzi amekwambia when a club like Manchester United come calling, no one can reject such opportunity
Sasa Ralf ni nani? Kwa kocha kama Ralf akitakiwa na timu yoyote hawezi kukataa ni sawa na Ighalo na wenzake klabu yoyote ingeenda wasingegoma.
Kwahiyo unadai mchezaji mwenye potential hua hafuatwi na timu nyingi. Unamjua Feran Torres?



), alafu tuje kwa whole team plus kinabo arteta!
Arteta Out - trending on Twitter
