computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Mamamae tutaelewena tu kuwa Arteta is not a coach wa kufundisha Arsenal tutaelewana
hata tukielewana vipi amna wa kumfukuza humu.Mamamae tutaelewena tu kuwa Arteta is not a coach wa kufundisha Arsenal tutaelewana
Bro don't run away hujanijibu kwa malengo yapi?unasemaga unani ignore ok come here and tell us Arteta ana malengo gani na Msimu huu?we have already talk a lot husikii don't run come and tell us hayo malengoManage your expectations bro.
Tunayo timu ya kufikia malengo yetu msimu huu. That's clear. Kama kuna mtu anadhani malengo ya timu ni kushinda EPL msimu huu basi nampa pole maana inaonekana hata timu yake haifuatilii
Mamamae tutaelewena tu kuwa Arteta is not a coach wa kufundisha Arsenal tutaelewana
Kasign mkataba wa maisha na Arsenal huyohata tukielewana vipi amna wa kumfukuza humu.
Si ulikuwa umeenda kulala dingi
Westham unitedNichagulieni timu ya kwenda kwa mkopo
Siangalii mechi.Let me ask you Unamuona coach wako ?mambo anayoyafanya?
Tatizo ni players or coach?acha kuzunguka zunguka mention nani anayesababisha yote haya?Kabla MB za ulinzi wa group hazijaisha ngoja niseme kabisa.
Timu nyingi siku hizi zinacheza low block zinakuachia umiliki mpira lakini hautapata pa kupitia.
Kwa kawaida low block hua inakua beaten na attacking fullbacks na wingers as hawa watawafosi mabeki wawafuate kule pembeni na kuacha nafasi hapa kati. Au hawa fullbacks watakua wanatoa krosi zenye macho.
At times hata mid inayoweza kuscore inasaidia against low block opponents.
A catch ni kwamba unahitajika kua na clinical finishers when those crosses come kwakua against low block unaweza usipate chansi nyingi sana.
Looking at Arsenal kiukweli tutaendelea kustruggle against low block teams, Norwich ni pombe ya ngomani ila we managed to score a single goal the omen was bad. Richarlson ana two goals denied before na bado defense ikawa inashindwa kummark.
Ingekua kwenye game ya playstation tungekua tunawapa special training waliopo ili wabadilike na kua wingers ila this is real life. Wasajiliwe wachezaji.
Wingers, AM, Orcehstrator na STs.