Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
huyu jamaa tyr ameshasema yeye ni arsenal fan, na juz kiongoz wa juve baada mech na chelsea alibak london kujadili hilo dili, binafs simjui , ila arsenal tunahitaji sana viungo wa kati , wingers wakuchangia mabao, ni dhahiri pepe atauzwa soon...Arsenal na Tottenham zote ziko kwenye ushindani wa kumsajili kiungo wa kati wa Sweden Dejan Kulusevski mwenye umri wa miaka 21 kutoka Juventus.(Calcio Mercato-in Italian)
Kwani pale Arsenal tunauhitaji wa kiungo mshambuliaji?