Shukrani sanaTutakupa taarifa ndugu
Shukrani sanaTutakupa taarifa ndugu
Manage your expectations bro.Hii timu tunawachezaji wakawaida sana hawa wote akina odegaard sijui partey sijui xhaka,nawatoto hawa akina martineli sijui Saka hutuwezi kuja kushindana na timu zilizo strong .tubaki tu kuipenda timu kwakua tumetoka nayo mbali huku tukiombea kucheza champions league kujiongezea thamani na kuvizia hivi vikombe vingine kama FA na Carabao.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Bro malengo yapi?top 4 au 6?kwa style hii ya mpira tena VAR inatubeba leo unategemea malengo ya Top 4?we are Arsenal fans but kwa Arteta coach may be Malengo ni kuparticipate English Premier leagueManage your expectations bro.
Tunayo timu ya kufikia malengo yetu msimu huu. That's clear. Kama kuna mtu anadhani malengo ya timu ni kushinda EPL msimu huu basi nampa pole maana inaonekana hata timu yake haifuatilii
Manage your expectations bro.
Tunayo timu ya kufikia malengo yetu msimu huu. That's clear. Kama kuna mtu anadhani malengo ya timu ni kushinda EPL msimu huu basi nampa pole maana inaonekana hata timu yake haifuatilii
Bro malengo yapi?top 4 au 6?kwa style hii ya mpira tena VAR inatubeba leo unategemea malengo ya Top 4?we are Arsenal fans but kwa Arteta coach may be Malengo ni kuparticipate English Premier league
Wewe ndiye hujanielewa kitendo cha kuruhusu VAR frequently maana yake ni kuwa umeruhusu magoli but yanatizamwa kama ni halali au lah ukiachana na possible red cards so kama timu ipo vizuri marefarii wanapataje time ya kureview kupitia VAR?tena more than once?VAR haijabeba mtu, haki imetendeka. Usichanganye mambo
Tz unashabikia timu gani?Wana Gunners mtanipa results za Full Time kwa mpira huu let me sleep kesho nsije kuchelewa job nkapewa warning mpira unaleta usingizi huu hauna amsha amsha at all
Umenielewa sasa?haya VAR itumike tena hapo umenielewa?Wewe ndiye hujanielewa kitendo cha kuruhusu VAR frequently maana yake ni kuwa umeruhusu magoli but yanatizamwa kama ni halali au lah ukiachana na possible red cards so kama timu ipo vizuri marefarii wanapataje time ya kureview kupitia VAR?tena more than once?
Let me ask you Unamuona coach wako ?mambo anayoyafanya?Tz unashabikia timu gani?