Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inasikitisha sana Arsenal haina mvuto tena kwa Big players kwa sasa kwa players they know their value hawawezi kuja kucheza chini ya Arteta otherwise Arsenal iingie champions league or EPL every day itakuwa ni tetesi kisha usajili unafungwa unabakia na majina yale yale unahisi mchezaji anayetaka makombe atakuja kuwa chini ya Arteta?this will never happen may be coach awe na jina kubwa na CV ya kutosheleza
Mkuu ili leo nisikuone mpumbavu nieleze kwanini Arsenal haitafanikiwa under Arteta, nieleze technically( kiufundi) kwa uelewa wako wa mpira...usiniambie 'believe me bro', leta Arguments ambazo zinakuwa, supported by facts(data).
 
Mkuu na wewe nawe unachosha ndugu yangu.

Unamchukulia poa Arteta. Falsafa zako sijui ni zipi kwenye mpira. Yaani hii turn around sijui wewe unaitafsiri vipi kwenye football.

Humpi credit yoyote kocha au unadhani imetokea tu???
 
Waweza kuta ile mechi na Brentford jamaa alibet akaweka nyumba ya urithi. Arsenal tukafa, nyumba ikaenda na ukoo unamsaka jamaa.

Na yeye anaamini asingekuepo Arteta nyumba ingekuepo mpaka leo.

Mi natania.
 
Mkuu na wewe nawe unachosha ndugu yangu.

Unamchukulia poa Arteta. Falsafa zako sijui ni zipi kwenye mpira. Yaani hii turn around sijui wewe unaitafsiri vipi kwenye football.

Humpi credit yoyote kocha au unadhani imetokea tu???
I will never give him the credits sababu kwa msimu wa 3 alionao mpaka sasa sioni akimaliza ndani ya Top 4 and you know why?ukitaka kuwa Top 4,you need to score against your big opponents and Arsenal failed to score against Liverpool Manchester City and Chelsea that's my fuckin big reason otherwise we will continue to score against Burnley na kuishia kusema Yes Arteta is a good coach that's fuckin stupid ideas Kaka imagine Arsenal ni wa 5 but Goal Difference -2 and also which falsafa?Arsenal needs big coach who will direct Arsenal kwenye mafanikio makubwa kama Tuchel alivyoifanyia Chelsea kwa muda mfupi kaitoa Chelsea from namba 10 in EPL mpaka top 4 na kubeba champions league?kaka kuna mambo mengine you don't need to use your energy kuargue mambo yanaonekana hata kwa wasiopenda mpira
 
Mkuu ili leo nisikuone mpumbavu nieleze kwanini Arsenal haitafanikiwa under Arteta, nieleze technically( kiufundi) kwa uelewa wako wa mpira...usiniambie 'believe me bro', leta Arguments ambazo zinakuwa, supported by facts(data).
You want me to explain to you technically?about Arteta?ni kupoteza muda wangu kwa kubishana na mpumbavu kama wewe let me ask you Arsenal kuwa nje ya European competition ni lini tangia 1995?nani aliyeipeleka leo Arsenal kuwa nje ya michuano ya ulaya?hata Emery hakufanya jambo alilolifanya Arteta na pia nachambua nini kwa coach ambaye 2 season in a row kamaliza nafasi ya 8?namchambua vipi coach ambaye he failed to score against big opponents and conceded eleven goals(against Chelsea Liverpool and Manchester City) this season?ntaonekana ni mpumbavu kama wewe nkianza kupoteza my time kufanya hivi kijana kuna mambo mengine you don't need to use your fuckin energy kuargue for example Tuchel kaikuta Chelsea ipo namba 10 January,kaipeleka Chelsea Top 4 katika six months na Champions league kawapa kwa same players aliowakuta and now ni number 1 katika EPL kaka mambo mengine hata masista duu wasiopenda football wanaona uhalisia acha kuwa kipofu na kuargue ujinga ujinga Tuchel ana miezi tu Chelsea team imebadilika Arteta ana miaka 2 now yupo pale pale nimeamua kukuchambulia tu kwa uhalisia achana na results ambazo Arsenal anazipata
 
You want me to explain to you technically?about Arteta?ni kupoteza muda wangu kwa kubishana na mpumbavu kama wewe let me ask you Arsenal kuwa nje ya European competition ni lini tangia 1995?nani aliyeipeleka leo Arsenal kuwa nje ya michuano ya ulaya?hata Emery hakufanya jambo alilolifanya Arteta na pia nachambua nini kwa coach ambaye 2 season in a row kamaliza nafasi ya 8?namchambua vipi coach ambaye he failed to score against big opponents and conceded eleven goals(against Chelsea Liverpool and Manchester City) this season?ntaonekana ni mpumbavu kama wewe nkianza kupoteza my time kufanya hivi
Fool, hujui mpira you nonce, tafuta mahala pako.
 
I will never give him the credits sababu kwa msimu wa 3 alionao mpaka sasa sioni akimaliza ndani ya Top 4 and you know why?ukitaka kuwa Top 4,you need to score against your big opponents and Arsenal failed to score against Liverpool Manchester City and Chelsea that's my fuckin big reason otherwise we will continue to score against Burnley na kuishia kusema Yes Arteta is a good coach that's fuckin stupid ideas Kaka imagine Arsenal ni wa 5 but Goal Difference -2 and also which falsafa?Arsenal needs big coach who will direct Arsenal kwenye mafanikio makubwa kama Tuchel alivyoifanyia Chelsea kwa muda mfupi kaitoa Chelsea from namba 10 in EPL mpaka top 4 na kubeba champions league?kaka kuna mambo mengine you don't need to use your energy kuargue mambo yanaonekana hata kwa wasiopenda mpira
Huyu fala pia alikuwa anasema timu itashuka daraja, Ego inamtafuna now kwa mihemko anaumia, huyu boya alileta dharau sn kwenye sajili za Tomiyasu, Lokonga & co ...msenge sana wewe.
 
Who is Lokonga ,Tomiyasu?hao ni small players ambao hawawezi kupata namba Chelsea Liverpool Manchester City unabisha?for example Guardiola kawa appointed anaweza akaja Arsenal na wachezaji wote wa Manchester City au Klopp na wachezaji wote wa Liverpool na Arsenal asibakie hata mchezaji wa kukaa benchi,Arsenal ina only 3 players ambao wanaweza pata namba kwenye big teams in the world nao ni Ramsdale Saka and Smith Row angalau,hao wengine waliobakia hata benchi hawakai then una mention majina ya ajabu ajabu
 
Huyu fala pia alikuwa anasema timu itashuka daraja, Ego inamtafuna now kwa mihemko anaumia, huyu boya alileta dharau sn kwenye sajili za Tomiyasu, Lokonga & co ...msenge sana wewe.
Arsenal inahitaji coach mwenye CV ya kutosha na some big players watwae kombe la EPL otherwise hapo panapigwa Mark time mtaambiwa timu inajengwa upya
wote tunaipenda Arsenal yetu but for now on Arsenal inapiga Mark time tu
 
Ok I am fool ila my point umeipata eti Arteta Arteta that's why ukiargue na big teams kama kule kwa Liverpool ukagongwa nyundo ya kichwani na mdau ukasepa
Mtu mzima naona kukaa kimya ni maturity mtoto unaona nimegongwa nyundo, huna akili ht kubishana na ww najishusha tu.
 
Arsenal inahitaji coach mwenye CV ya kutosha na some big players watwae kombe la EPL otherwise hapo panapigwa Mark time mtaambiwa timu inajengwa upya
wote tunaipenda Arsenal yetu but for now on Arsenal inapiga Mark time tu
Fool
 
Mkuu ili leo nisikuone mpumbavu nieleze kwanini Arsenal haitafanikiwa under Arteta, nieleze technically( kiufundi) kwa uelewa wako wa mpira...usiniambie 'believe me bro', leta Arguments ambazo zinakuwa, supported by facts(data).
Akikujibu ni-tag mkuu
 
Kosi
Screenshot_20211128-183753.jpg
 
Mkuu ili leo nisikuone mpumbavu nieleze kwanini Arsenal haitafanikiwa under Arteta, nieleze technically( kiufundi) kwa uelewa wako wa mpira...usiniambie 'believe me bro', leta Arguments ambazo zinakuwa, supported by facts(data).
Kwasababu Arteta ni kocha wa championship.
 
Huyu fala pia alikuwa anasema timu itashuka daraja, Ego inamtafuna now kwa mihemko anaumia, huyu boya alileta dharau sn kwenye sajili za Tomiyasu, Lokonga & co ...msenge sana wewe.
Huyu jamaa ana mambo makuu mawili au matatu yanayomsumbua.

1. Sio kwamba hataki kuchambua mpira km wengine wanavyojitahidi kufanya anataka na anatamani sana shida ni kwamba hajui aanzie wapi na aongee kitu gani(hajui) ndo maana leo atasema hili kesho atakuja na lile.

2. Yawezekana ni mtoto mdogo na hajawa na uwezo wa kujenga hoja kwenye mijadala hivyo anatumia jukwaa hili kukuza uwezo wake japokuwa anaweza kuwa anashindwa kugundua vitu vingine vinavyomuongezea uwezo wa kufikiri ili atengeneze hoja ya kueleweka

3. Yawezeka siyo shabiki wa arsenal na pia hajui mpira japo anaweza kuwa mpenzi wa mpira kwahiyo anachofanya ni kuiponda arsenal huku akijifanya shabiki bila kuwa na sababu za kimpira.

Nahitimisha kwa kusema kuwa huyu bwana nimekuwa nikifuatilia argument zake lkn hakuna cha maana alichowahi kuki-argue hivyo binafsi nikampuuza. Sasa hapa pia nashauri watu kumpuuza kwa kuwa huwa hana fact za kimpira zaidi ya kuwa na lugha za matusi au kejeli.
 
You mocked the signings, you think they aren't quality yet you now expect them to make top 4, you under play every victory. You have never seen anything positive in the team. You are quite after every victory and loud after every loss and you still wonder why they call you hater ~ Arteta outers.
 
Back
Top Bottom