Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mari wants to leave Arsenal! Should the club let Pablo leave in the upcoming transfer window?
FFXXrAcWUAcCJvo
FFXXrAcWUAcCJvo
He should go tomorrow
 
Yaani sometimes coaches wanabebeshwa lawama wasizostahili.

Huyu Clark amekula umeme dakika ya 8 hapa kwa kosa la kijinga kabisa. Unamuona kabisa Eddy Howe alivyokuwa disappointed.

Norwich washindwe wao tu game hii
 
Bado najiuliza tuliwatrick vipi NC kwa Willock
 
Hua unaifananisha Arsenal ya zamani iliyofuzu Europe comp kila msimu na hii ambayo haijafuzu. Ni kweli hautaki tuangalie past?

Hapa tusianze kuitana bro ili kuficha jinsi tulivyo miyeyusho na kuoneana huruma.

Tumekubaliana kuandika facts kwa kadri tunavyozijua. Nakukubalia chelsea imepata ballon d'or chini ya Tuchel.

Tuchel amekaa misimu miwili miwili Dortmund na PSG kwanini huko alishindwa? Jibu kwa facts.
Mkuu achana naye tu huyo compyuta hata haeleweki analalamika mnooo utafikiri anachangia hata kununua tiketi kumbe ni furaha tuu ana analyse vitu katika negative sana, habalance hata kidogo.Mtu akifanya vizuri apongezwe akifanya vibaya aambiwe madhaifu yake, huyo Arteta kaja tu kipindi kifupi tukapata AF timu ilikuwa na akina ozil wavivu, ameanza angalau kuzichangamsha damu changa, timu imetoka shimon angalau inapambania nafasi za UEFA kila mtu anaona pamoja na udhaifu huo huo, tuna watoto wadogo wadogo wa bei rahisi ambao tulichekwa sana kuliko majirani wamewaleta mpaka akina Ronado lakin mambo yanaenda hali jojo, kwenye ukweli tuseme bila kuegemea upande wowote.
 
"We must respect them,But with the mindset to win"

Mikel Arteta.
 
Nampenda sana Sambi ila pia nauhusudu sana utulivu wa Mo Elneny,Game zenye high intensity bwana mdogo amekua akifanya 'indivual mistakes' mara kadhaa(refer game ya Liverpool, C.palace na City) ambazo zimepelekea magoli.

Nafikiri utulivu wa El neny na akili ya Partey ndo zitatupelekea kupata point 3 au vinginevyo dogo aandaliwe kisaikolojia.

Hamna kitu tunachotakiwa kuomba kama Bukayo kuwa mzima,Maana huyu dogo ndo amekua chachu ya mashambulizi golini,Vile vile na SR10 awe vizuri kiakili .

Aubameyang ni kama vile hafurahii tena kucheza mpira,it seems jamaa ana matatizo ya kisaikolojia nafikiri kwa sasa ni vema MA ampe muda wa kupumzika ili madkatari wa saikolojia wamsaidie.

Napenda sana Aaron Ramsdale anavyodaka kwa passion,Jamaa anaipenda sana kazi yake,,huwaga akifungwa ana chukia,Tunatakiwa tuwe na hii mentality..
 
Midfield pairing nzuri ni Niles/ Partey hata El neny anaweza kuanza, ugumu wa mechi kwa Arsenal ni kuwa Pogba hayupo so united watakuwa na Intensity mwanzo mwisho sababu hakuna luxury player wakufanya tudominate midfield, Partey pia anahitaji kustep up his game maana anagive sloppy ball kila mara siku hizi.
 
3 4 1 2 way forward.

Wings Tavares Tomiyasu/ Tierney.

CM Partey Elneny/ Niles

AM Emile

ST Laca Auba/ Odegaard/ Martinell
 
Leo fursa yetu kukaa #4 , sikumbuki lini tulishika hiyo nafasi. Tukikaa hapo paka mwisho Coyg.
..kabisa kabisa kaka!! Kama tuliwahi kutangaza ubingwa nyumbani kwa hizi nyumbu...leo inabidi tuingie top 4 kwa kishindo kabisa...kwao. #coyg
 
Back
Top Bottom