Liva ni wa pili kwa timu zilizoshinda mechi nyingi ugenini. Factor ya kua home haifanyi kazi mbele ya timu yenye rekodi hiyo.Hiyo statement ya kwanza tu ndio umezingua mkuu.
Cha kwanza, game ya Everton na Liverpool ni derby. Ni kama unavyoona kariakoo derby. Wachezaji wanacheza kwa ari na upinzani mkubwa.
Jambo la pili, Everton walikuwa nyumbani.
Ukiunganisha hizo dots mbili unapata kuona kwanini walistahili kupata goli.
Hata United na Liva ni derby. Chelsea na Crystal Palace ni derby.
Ni viashiria vidogo vidogo kama hivi vinavyoweza kukupa picha nzima.
