Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
yaaaap
Nampenda sana Sambi ila pia nauhusudu sana utulivu wa Mo Elneny,Game zenye high intensity bwana mdogo amekua akifanya 'indivual mistakes' mara kadhaa(refer game ya Liverpool, C.palace na City) ambazo zimepelekea magoli.
Nafikiri utulivu wa El neny na akili ya Partey ndo zitatupelekea kupata point 3 au vinginevyo dogo aandaliwe kisaikolojia.
Hamna kitu tunachotakiwa kuomba kama Bukayo kuwa mzima,Maana huyu dogo ndo amekua chachu ya mashambulizi golini,Vile vile na SR10 awe vizuri kiakili .
Aubameyang ni kama vile hafurahii tena kucheza mpira,it seems jamaa ana matatizo ya kisaikolojia nafikiri kwa sasa ni vema MA ampe muda wa kupumzika ili madkatari wa saikolojia wamsaidie.
Napenda sana Aaron Ramsdale anavyodaka kwa passion,Jamaa anaipenda sana kazi yake,,huwaga akifungwa ana chukia,Tunatakiwa tuwe na hii mentality..
Nakumbuka mechi ya mwisho pale Old Trafford kati ya Arsenal dhidi ya Man Utd tulitoka na ushindi wa 1-0 goli akishinda Aubameyang kwa penalty.
Ile game tulitawala vizuri mchezo. Arteta siku ile aliwashangaza watu wengi kwa kumuanzisha Elneny na Partey/Xhaka (sikumbuki vizuri) kwenye CM. Kabla ya mechi watu walimtukana sana MA kwa kumuanzisha Mudi. Ile siku Mudi alituliza sana dimba mpaka wale waliokuwa wakimpinga Arteta wakakosa la kuongea.
Na bahati mbaya ya siku ile ilikuwa ni kukosekana kwa Saka kwa sababu ya majeraha, ambae alikuwa moto kwa wakati ule.
Naona kama hili jambo linaenda kujirudia tena maana mpaka sasa Arteta anafichaficha sana kuelezea status ya Bukayo.
Ubaya mwengine unakuja wakati huu ambao Auba ndio yupo kwenye kiwango kibovu kabisa katika career yake. Hata sijui itakuwaje!
Yeah!! Mzee Aubameyang amekua flop kwa sasa,Nafikiri ni vyema aanze Laca kama CF kwa leo then Auba aingie sub baadae.Nakumbuka mechi ya mwisho pale Old Trafford kati ya Arsenal dhidi ya Man Utd tulitoka na ushindi wa 1-0 goli akishinda Aubameyang kwa penalty.
Ile game tulitawala vizuri mchezo. Arteta siku ile aliwashangaza watu wengi kwa kumuanzisha Elneny na Partey/Xhaka (sikumbuki vizuri) kwenye CM. Kabla ya mechi watu walimtukana sana MA kwa kumuanzisha Mudi. Ile siku Mudi alituliza sana dimba mpaka wale waliokuwa wakimpinga Arteta wakakosa la kuongea.
Na bahati mbaya ya siku ile ilikuwa ni kukosekana kwa Saka kwa sababu ya majeraha, ambae alikuwa moto kwa wakati ule.
Naona kama hili jambo linaenda kujirudia tena maana mpaka sasa Arteta anafichaficha sana kuelezea status ya Bukayo.
Ubaya mwengine unakuja wakati huu ambao Auba ndio yupo kwenye kiwango kibovu kabisa katika career yake. Hata sijui itakuwaje!
Subirieni mgongwe Leo viwili vinatosha.Yeah!! Mzee Aubameyang amekua flop kwa sasa,Nafikiri ni vyema aanze Laca kama CF kwa leo then Auba aingie sub baadae.
United wana ari mpya kwa sasa kutokana na ujio wa kocha mpya na pia wanataka wa prove kua tatizo lilikua kwa ole sio wao hivyo basi leo watacheza kwa ustadi wajuu.
Kama Defensive area ita link vyema na Middfield are bila shaka tunaweza kutoka na cleansheet.
Kingine Ronaldo ni wa kuchungwa sana maana yule jamaa ni fowadi mjanja mjanja sana na ni mbaya kwenye long range shots na kwenye mipira ya vichwa.
The rest,our middfielders will decide the results of the match.
Hahahahahaaaa.......Arsenal The Gunners Special Thread...pigaaa hizo nyumbuu..leo tunarudi top 4. Rasmi!
Are you not taking any consideration that Everton was at home??Jana Everton kafungwa 4 kwa 1 na Liva sisi tulifungwa 4 - 0 hii inamaanisha Everton ana timu ambayo iko active kutafuta magoli kuliko Arsenal.
Either that au inamaanisha hatuna forwards na mid ambayo itahusika katika kusakama wapinzani. Wapinzani wa leo wako vizuri katika kuscore hata bila Ronaldo.
Wakirudia tena mtindo wa Fifa 21 kuchagua wachezaji wenye speed wakae mbele this means watakua wamejipanga kushambulia kwa counter na quick one two. Strong mid itaabsorb mashambulizi mengi kabla hayajafika kwa defence hence naamini Elneny ana namba yake hapa kwa leo.
Although defence ya united is overrated ila Arsenal pia hatuna forward nzuri sana ya kuhakikisha inaexploit kila kosa la defence. Imekua kawaida Auba kukosa magoli ya wazi na forwards hawatafuti space kwaajili ya long range shots.
Saka anaweza asicheze. Magalhaes anaweza akaanza, Martinelli ni mzuri ila sidhani ni sahihi akianza hii game. Tusuffocate ile mid pale ili through ball zishindikane na kuwapressure Fred na Mc kufanya makosa.
Subirieni mgongwe Leo viwili vinatosha.
Jana Everton kafungwa 4 kwa 1 na Liva sisi tulifungwa 4 - 0 hii inamaanisha Everton ana timu ambayo iko active kutafuta magoli kuliko Arsenal.
Either that au inamaanisha hatuna forwards na mid ambayo itahusika katika kusakama wapinzani. Wapinzani wa leo wako vizuri katika kuscore hata bila Ronaldo.
Wakirudia tena mtindo wa Fifa 21 kuchagua wachezaji wenye speed wakae mbele this means watakua wamejipanga kushambulia kwa counter na quick one two. Strong mid itaabsorb mashambulizi mengi kabla hayajafika kwa defence hence naamini Elneny ana namba yake hapa kwa leo.
Although defence ya united is overrated ila Arsenal pia hatuna forward nzuri sana ya kuhakikisha inaexploit kila kosa la defence. Imekua kawaida Auba kukosa magoli ya wazi na forwards hawatafuti space kwaajili ya long range shots.
Saka anaweza asicheze. Magalhaes anaweza akaanza, Martinelli ni mzuri ila sidhani ni sahihi akianza hii game. Tusuffocate ile mid pale ili through ball zishindikane na kuwapressure Fred na Mc kufanya makosa.
I didn't. Liva is second among the teams with most wins in away games hence it is a factor that can be ignored.Are you not taking any consideration that Everton was at home??