Mkuu mpira sio mazingaombwe, ukiangalia Idea & Track record ya Rangnick utaelewa nachokisema, United wana quality, wana profile wanaweza shida mechi yoyote km watakuwa Organize on the pitch, tusiangalie mpira kishabiki.
Kwangu mimi Top four race ni United, West ham, Arsenal.
Kuna mtu nilimwambia jukwaa la Chelsea kuhusu Spurs kuingia Top four ni ngumu kwamba inakosa watu muhimu kwenye build up phases, akajibu kimahaba kwamba itaingia.
Juzi Conte kafungwa akaongea hiki kitu
Antonio Conte: “After three weeks I am starting to understand the situation. It is not simple. At this moment the level at Tottenham is not so high.” #THFC