Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Saka vs deep block opposition huyu mwamba mnyama, kijana miaka 20 anakuwa double marked in every game.

Tomiyasu akiwa Inverted mnamuonaje wakuu? Nadhani Arteta kaicopy kwa Klopp anavyomchezesha TAA.
Tofauti ya TAA na Tomiyasu inakuja pale wakati wa kumwaga maji, inabidi akiwa mazoezini afanye mazoezi ya kupiga mipira mingi ya crosses inayotua ndani sita
 
Ishu siyo kumwaga maji ishu ni una clinical finishers?

Tierney alikua anamwaga maji vizuri tu kisha nini kinatokea?
 
Sambi confidence anaipata akicheza na small teams if it is not true why kwenye big matches haonekaniki?
Daaah mkuu, Sambi at his young age na katoka timu na league ambayo ni ya kawaida sana and then BAM! anatua Uingereza na mechi against city or Liverpool kucheza dhidi ya viungo ambao wamezidi kila kitu yaani umri, uwezo na experience
City
Rodri
De bruyne
Fernandinho
Gundogan

Liverpool
Henderson
Thiago
Fabinho
Chamberlain

Unategemea hapo katikati huyo SAMBI atafanya nn zaidi ya flop, zaidi ya hapo dg anahitaji kukua na kuendelea kugain experience zaidi ya premier league
 
Dusan Vlahovic hataki kuja Arsenal
Dg kwasasa ameona yupo kwenye potential kubwa, na vijana wa sikuhizi wanataka mafanikio ya haraka ktk soka na ndio maana wanapenda kwenda kwenye timu ambazo tayari zipo structured
 
Arsenal na Tottenham zote ziko kwenye ushindani wa kumsajili kiungo wa kati wa Sweden Dejan Kulusevski mwenye umri wa miaka 21 kutoka Juventus.(Calcio Mercato-in Italian)

Kwani pale Arsenal tunauhitaji wa kiungo mshambuliaji?
 
Tunaitaj viungo wanaofunga pia, kama washambuliaji hawafungi basi viungo watupe mabao kitu tunachokikosa kwa sasa
 
Arsenal na Tottenham zote ziko kwenye ushindani wa kumsajili kiungo wa kati wa Sweden Dejan Kulusevski mwenye umri wa miaka 21 kutoka Juventus.(Calcio Mercato-in Italian)

Kwani pale Arsenal tunauhitaji wa kiungo mshambuliaji?
Technically Arsenal inahitaji kuwaondoa Auba na Laca kwenye X1 basi goli zitaanza kumiminika, Ø kashamtoa Laca, Vlahovic ilibidi amtoe Auba ila ndio hivyo Vlahovic anatuyeyusha.
 
Vlahovic mtu na nusu tulingelipata hili jitu mbona ingekuwa Fire, Naimagine Locatelli & Vlahovic sijui ingekuwaje hii Arsenal.
 
Fiorentina wameweka bei ya pauni milioni 55 ya kumnunua mshambuliaji wa Serbia Dusan Vlahovic kwa nia ya kusimamisha nia ya Manchester United - lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 hatarajiwi kuhama mwezi Januari. (Mail)

Hawa Fiorentina washaanza kuwa na tamaa mwisho wa siku atakuwa kama Aour kwa Lyon walivyoweka tamaa mbele
 
Daaaah aseee Aour tulimuwinda balaa
 
Back
Top Bottom